Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

6 Votes
Utangulizi Kila teknolojia huanzia na ndoto, fikra bunifu za kubadilisha dunia. Kwa Tanzania, ndoto hiyo ina umuhimu wa kipekee katika kujenga taifa imara, linalowezeshwa na teknolojia ya kisasa...
2 Reactions
9 Replies
633 Views
Upvote 6
8 Votes
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu...
2 Reactions
6 Replies
870 Views
Upvote 8
7 Votes
Kufanikisha lengo la Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati cha juu ifikapo mwaka 2040, mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo ni muhimu sana. Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
577 Views
Upvote 7
374 Votes
In Tanzania, the journey towards reducing mortality rates and disabilities hinges on a crucial, yet often overlooked factor: First Aid provision during accidents and illnesses. The significance of...
248 Reactions
89 Replies
8K Views
Upvote 374
4 Votes
Akili bandia ni nini? Huu ni mchoro wa ujasusi au roboti ambayo inajaribu kuiga kazi za binadamu zenye ubongo kwa kutumia aligorithms data iliyojifunza, kutokana na ukuaji wa technolojia akili...
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Upvote 4
5 Votes
Ukitoa ubovu wa miundombinu iliyopo katika sekta ya usafirishaji na mapungufu yaliyopo kwenye makampuni ya usafirishaji tatizo kubwa lipo kwa mamlaka ya usafiri aridhini LATRA na serikali maana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 5
47 Votes
Shajara ni kitabu maalumu ambacho hutumika kuandika kumbukumbu za matukio ya kila siku. Watu wengi huitambua kama “diary” kwa lugha ya kingereza na kuandika historia kuhusu maisha yao, vitu...
21 Reactions
27 Replies
2K Views
Upvote 47
336 Votes
Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950...
101 Reactions
122 Replies
15K Views
Upvote 336
44 Votes
Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza...
17 Reactions
44 Replies
3K Views
Upvote 44
4 Votes
Tanzanaia tuitakayo Miaka kumi ijayo Udumavu, au utapiamlo, ni hali inayojitokeza pale ambapo mtoto hupata lishe duni, ambayo inaweza kusababisha kuchelewa kwa ukuaji wa mwili na akili. Chanzo...
2 Reactions
4 Replies
531 Views
Upvote 4
3 Votes
Utangulizi, Katika ulimwengu wa sasa, vijana wana nafasi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii. Nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
597 Views
Upvote 3
3 Votes
Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa...
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Upvote 3
4 Votes
TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo. Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili...
2 Reactions
1 Replies
544 Views
Upvote 4
2 Votes
Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
Upvote 2
4 Votes
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi, ikiwemo ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo, ufugaji na uwekezaji. Hata hivyo, migogoro ya umiliki wa ardhi imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo endelevu...
2 Reactions
1 Replies
527 Views
Upvote 4
2 Votes
Maono ya mtu siyo lazima yatimizwe na mubeba maono na hakuna anaye weza kuyabeba maono ya mtu. Uharisia wa ndoa yako ni maisha ya ujana,naamu Tanzania ya leo ni marudio ya kesho kwa kizazi...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Upvote 2
1 Vote
Wanafunzi wengi wanapojiunga na Elimu ya Juu wamekuwa wakinufaika na ada, ela ya kujikimu, utafiti n.k. inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuweza kuwawezesha kukamilisha masomo yao...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Upvote 1
2 Votes
Kwa mkono wa Mikael Mtanzania Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na...
1 Reactions
1 Replies
707 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Upvote 1
1 Vote
Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au...
1 Reactions
1 Replies
337 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom