Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

5 Votes
Kijana ni umri wa ukuaji wa mwanadamu unaokadiliwa ni kuanzia miaka 16-45.Huu ni umri ambao mwanadamu huwa anakuwa na uwezo zaidi wa mambo mbalimbali ukilinganisha na umri aliotoka nyuma yake...
3 Reactions
4 Replies
473 Views
Upvote 5
5 Votes
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya...
1 Reactions
2 Replies
267 Views
Upvote 5
4 Votes
Tanzania niiyakayo mimi ni ile yenye vipaumbele vya maeneo kadhaa na ntaichanganua kama ifuatavyo: Elimu; eneo hili kwa Tanzania niitakayo linatakiwa kuwa na mikakati madhubuti na iwe na mambo...
1 Reactions
3 Replies
258 Views
Upvote 4
2 Votes
Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Upvote 2
5 Votes
Nchi nyingi Duniani zina mambo zinayoyafanya kwa upekee na ueledi mkubwa jambo linazozipa nafasi ya kutegemewa Duniani. Mathalani zipo nchi kama Korea zinazotegemewa kwa uzalishaji wa vifaa vya...
2 Reactions
3 Replies
363 Views
Upvote 5
2 Votes
Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania. 1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Upvote 2
7 Votes
Moja ya changamoto kubwa nchi Tanzania ni mmomnyoko wa maadili kwa watanzania hasa vijana wengi wa kizazi hiki unaotokana na ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano(UTANDAWAZI). Tukiwa kama...
1 Reactions
2 Replies
540 Views
Upvote 7
2 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Upvote 2
4 Votes
THE STORY OF CHANGE TANZANIA YANGU MIAKA 5-25 IJAYO (UDHIBITI WA RASILIMALI FEDHA YA WANANCHI) Tanzania ni nchi nzuri sana iliyo na watu wazuri na imesheheni rasilimali na utajiri mwingi lakini...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Upvote 4
2 Votes
TANZANIA IJAYO ISAIDIA WATANZANIA KUPATA KAZI NJE YA NCHI ILI KUKUZA PATO LA TAIFA. Diaspora ni moja ya wachangiaji wakubwa sana wa GDP ya nchi zingine hapa Duniani, Kenya wana kitengo ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Upvote 2
4 Votes
Miaka ya nyuma kidogo ilikua ni changamoto kubwa kuona wanawake wakishiriki kwenye siasa , lakini siku za karibuni sio jambo jipya sana japo Bado ushiriki wao sio wa kuridhisha lakini tumeona...
0 Reactions
2 Replies
266 Views
Upvote 4
3 Votes
Sheria zote hapa duniani huwa zinatungwa na Mabunge ili kuleta manufaa kwenye jamii. Hii ikimaanisha kuwa mtu akivunja sheria iliyotungwa na Bunge basi ataweza kujifunza na kuogopa kutenda kosa...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Upvote 3
4 Votes
1. Kama tunaitaji kusonga mbele kimaendele, Yani maendeleo ya inchi nikimanisha miundombinu ,afya ,ajila mawasiliano na maendeleo ya mtu moja moja tunaitaji wawakilishi wetu bungeni wawe ni watu...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Upvote 4
2 Votes
Ili tuendelee tunahitaji watu, siasa Safi, ardhi na uongozi bora. Hivi vinategemeana, kinara uongozi bora. Uongozi bora utatoa maono, mengine yachangie kuleta maendeleo. Kiongozi anaongoza watu...
1 Reactions
0 Replies
263 Views
Upvote 2
5 Votes
Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya ongezeko la deni la taifa hadi kufikia Trilioni 91.7. Huku deni likiongezeka kwa kasi kila siku...
1 Reactions
3 Replies
465 Views
Upvote 5
2 Votes
UTANGULIZI Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao ni wahanga wa ajira za serikali baada ya kuhitimu elimu yangu ya juu na ni takriban miaka minne sasa niko mtaani ninatrust process lakini...
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Upvote 2
0 Votes
I. Awakening the Digital Nation The familiar hum of drones fills the air in Dar es Salaam, seamlessly delivering medical supplies and groceries, bridging the gap between urban centers and rural...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Upvote 0
18 Votes
Hivi kila mmoja wetu hapa si anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Upvote 18
3 Votes
Kuanzishwa kwa mfumo wa kazi za mkataba kwa vijana nchini Tanzania kunatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, na kisiasa kwa miaka mitano ijayo. Mfumo...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Upvote 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…