Utangulizi
"Tanzania Tuitakayo" ni kauli mbiu inayolenga kuleta mabadiliko chanya kupitia mijadala na fikra bunifu kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu. Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo...
Maendeleo ni Jambo linalohitaji Jitihada kubwa na jumuishi katika Sekta Muhimu kama vile ELIMU, UTALII, VIWANDA, AFYA, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Kwa Uhakika Suala la maendeleo ni mchakato wa muda...
Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi
Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu...
Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania
Elimu ndio kitovu cha maendeleo katika Nyanja zote za Maisha katika nchi na Maisha binafsi ya mtu, kwa bahati mbaya mfumo ambao...
Ni Mara Kadhaa tumekuwa tukishuhudia jitihada za Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Katika kuhakikisha huduma bora kwa Wananchi wake kwa Kupitisha Bajeti ambayo kila mwaka inaongezeka...
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo
Utangulizi
Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye bidii, ina fursa kubwa ya kufanikisha maendeleo...
Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya...
Najivunia sana nchi yangu Tanzania kuwa ni kubwa barani Afrika, ikiwa imesheheni tunu nyingi kama vile ardhi yenye baraka nyingi, utalii, uvuvi, kilimo, viwanda, na sekta nyingi zaidi. Licha ya...
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda nchi yake kiasi cha kuifia alisikika mtu alisema. Ukarimu na amani ni sifa kadhaa zinazoskika Kwa watu wa njee juu ya nchi yangu Tanzania.
Kilio changu katika...
TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI.
Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa...
UTANGULIZI.
Utawala bora ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya kiuchumi, kidemokrasia, kijamii na hata maandeleo ya mtu mmoja mmoja. Utawala bora ni zoezi la viongozi katika ngazi zote kusimamia...
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali na vipaji. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, tunaweza kutumia ubunifu kama kichocheo cha maendeleo endelevu na kujenga taifa lenye...
Miundombinu hurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii
Jamii inahitaji miundombinu bora ya barabara, maji, umeme, reli, hospitali, shule nk.
Serikali imejitahidi sana kujenga miundombinu ya kutolea...
Kama raia wa Tanzania mwenye kipato cha kawaida au cha chini, kumiliki ardhi au nyumba ni mtihani mgumu unao hitaji maarifa mengi na hesabu kali. Kadri siku zinavyo zidi kusonga, bei ya ardhi...
MTANZANIA MWENYE TANZANIA TUITAKAYO
Je, ni nani mwenye Tanzania tuitakayo?
Ndugu msomaji, natamani tuzungumzie kwa pamoja suala la Tanzania tuitakayo. Leo hii utakubaliana na mimi kuna...
Ili Tanzania ya sasa na ijayo iweze kukabiliana na kuondoa tatizo la kuporomoka kwa thamani ya shilingi na uchumi kwa ujumla pamoja uhaba wa fedha za kigeni, ni vema sisi kama Tanzania tuchague...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo haiwezi kukwepa matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuendeleza uchumi wake. Taasisi za umma zinaongoza kwa kuwa na huduma isiyoridhisha kwa upande wa...
Kufikia Tanzania tuitakayo ni lazima kuhakikisha kuwa Vyanzo vikuu vya maji vinatunzwa na kulindwa ipasavyo kwakuwa Nchi inaweza kuweka malengo pamoja na mipango madhubuti kabisa lakini bila...
Kwanini Mimi rafiki yake Sisi?
1. Kuielimisha na kujenga jamii nzima(sisi) Ni lazima ianze na mtu mmoja mmoja(Mimi)
2. Hatuwezi kuwa na jamii ya werevu ikiwa Kila mtu ni mjinga. Tunahitajika...
Naam.
Ni wasaa mwingine ambao tupo kusoma dira vizuri ili tusipotee katika mwelekeo wa safari yetu kuitafuta TANZANIA Bora Zaidi.
Bila kupoteza muda niende Moja Kwa moja nikibainisha wazi ya...