Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

Tanzania, taifa mahiri la Afrika Mashariki linalojulikana kwa utamaduni wake tajiri na urembo wa asili, liko katika hatua muhimu katika safari yake ya kufikia maendeleo endelevu. Ingawa maendeleo...
1 Reactions
1 Replies
574 Views
Upvote 4
UWAJIBIKAJI ni moja kati ya misingi ya Utawala Bora ambapo kutekelezwa kwa msingi huu kwa ukamilifu ni kutekelezeka kwa misingi mengine ya Utawala Bora kama vile ufanisi na tija, kuzingatia...
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Upvote 2
Mama Shujaa alikuwa mama wa watoto watatu, aliyekuwa akisimamia biashara ndogo ya kuuza mboga mboga katika soko la mji wa Kibaigwa. Lakini alikuwa na shida nyingi sana katika biashara yake...
1 Reactions
1 Replies
515 Views
Upvote 4
Katika kijiji kidogo nchini Tanzania, kijana mwanamke aliyeitwa Amina alikuwa amechoshwa na ukosefu wa uwajibikaji na uwazi katika mfumo wa afya. Aliweza kushuhudia kwa macho yake mwenyewe ugumu...
2 Reactions
1 Replies
553 Views
Upvote 4
Habar wapendwaa, leo nataka nishare na nyie changamoto iliyopo kwa sasa ukitaka kupata leseni ya udereva hasa kwa class C na E, nipasua kichwaaaa. Mimi ni dereva, leseni yangu iliisha muda...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 5
Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara...
5 Reactions
2 Replies
937 Views
Upvote 7
Wito wa Mabadiliko katika Nyanja Mbalimbali Utangulizi: Katika dunia ya sasa inayobadilika kwa kasi, uwajibikaji na utawala bora ni nguzo muhimu kwa maendeleo na utulivu wa jamii na utawala...
2 Reactions
1 Replies
746 Views
Upvote 4
UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la...
2 Reactions
4 Replies
743 Views
Upvote 3
Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa...
2 Reactions
2 Replies
712 Views
Upvote 4
Edward Moringe Sokoine alizaliwa mnamo 1 Agosti 1938 katika kijiji cha Monduli, mkoani Arusha, Tanzania. Alikuwa ni mtoto wa tisa kati ya watoto 13 wa familia ya wafugaji wa kimasai. Sokoine...
2 Reactions
5 Replies
713 Views
Upvote 5
Jamii,ni jumla ya watu wote wanaoishi katika mazingira Fulani ya kijiografia ambao wanaweza kufanana au kutofautiana katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni, na kiteknolojia. Kujenga...
1 Reactions
2 Replies
951 Views
Upvote 2
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo...
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Upvote 3
Dhana ya utawala bora Utawala bora ni dhana jumuishi inayohusisha ufanisi wa kiutendaji katika kusimamia raslimali za umma bila kuathiri misingi ya utawala wa sheria na upatikanaji wa haki za...
5 Reactions
1 Replies
666 Views
Upvote 7
Back
Top Bottom