You dump a man because he cheated,and you went to a man who was dumped because of his cheating and then you claim you moved on...Moved on to where?...My sister this is what we call cross...
Katika zoezi la kuwapa kipaumbele wazawa, Tanzania imefikia uamzi wa kuondoa leseni za waliokuwa wanafanya shughuli ndogo ndogo za kiuchumi.
Je, utaratibu huu, unawanufaisha kweli wazawa? Kama na...
Sawa, pamoja na kwamba ni makauzu, laikini kufikia hatua hii, ni kubisha hodi mwenyewe mjengo wa wahalifu.
Watoto wakimuona mama yao hivi, jiandae wakikuwa utakipata cha mtema kuni.
MWANAUME kamwe usiombe ukakosa pesa au kazi au ukayumba kiuchumi kipindi ambacho ulijawa jeuri na kiburi kwa mke wako kisa mali alizo kukuta nazo au mlizo chuma pamoja.
Rafiki yangu kumbuka...
Joseph Kabila, baada ya kuondolewa kinga na Bunge na seneti ya nchi yake, leo hii kesi yake imeanza mahakamani. Anakabiliwa na tuhuma za usaliti, na kuwa mmoja wa waasi, ambao ni kundi la AFC/M23...
Wanaume wengi bado wanaishi kama watoto yatima....
Wanatoa kwa kila mtu lakini hakuna anayewapa wao kitu.
Wanalipa bills zote, kodi zote, wanakuwepo katika kila janga, wanalinda familia n.k...
WHAT FUTURE ARCHAEOLOGISTS WILL UNCOVER ABOUT MODERN WOMEN
You’re not looking at a woman.
You’re looking at a product — built, sold, and upgraded like an iPhone.
Modern women have traded values...
Women, when you give your husband peace at home, he thinks well and performs better.
He is always at his best and focused; he is able to pursue his plans and achieve more.
He becomes a better...
Mama wa mtoto mmoja, niliolewa lakini nilishindwana na mume wangu kutokana na tabia zake za umalaya, alikua ni mtu wa wanawake sana nikaamua kuondoka na kudai talaka.
Tuliachana mwaka juzi...
Hasira ni hisia ya kawaida ya kibinadamu, lakini namna tunavyoikabili ndiyo huamua kama tunajiumiza,tunajiponya ama kuwaumiza wengine.
Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua wa kukusaidia...
Mwanamke usijaribu kutafuta pesa kwa lengo la kushindana na mwanaume.
Kumbuka kutafuta pesa kukabiliana na changamoto za maisha yako na kutatua shida zako mwenyewe bila kumtegemea mwanaume...
Mwanaume tafuta mwanamke ambaye anafanya haya mambo saba
1. Mwanamke ambaye anakuheshimu
2. Mwanamke anayejivunia kukupenda na kuonesha upendo wake kwako sirini na hadharani.
3. Mwanamke ambaye ni...
Wanaume wanaojitambua ni wachache sana siku hizi. Sio rahisi hata kidogo kumpata mwanaume anayejitambua siku hizi. Kumpata mwanaume anayejitambua kunakuja na gharama yake, lazima ukubali kulipa...
Leo tarehe 23 July, 2025, huko Rutshuru, Kivu kasikazini,toka alfajili, inasikika milio ya bunduki nzito. Ni kati ya AFC/M23 na makundi wa Wazalendo na FDLR.
Kivu kusini na kwenyewe,huko Masisi...