Baada ya Paris Saint Germain(PSG), Arsenal na Bayern Munich, huko Hispania, timu ya ATRETICO de MADRID yasaini mkataba na serikali ya Rwanda pia, kuitangaza VISIT RWANDA.
Neno VISIT RWANDA...
Huko bungeni Rwanda, uongozi wa shirika la serikali la kukusanya mapato(RRA/ Rwanda Revenue Authority) limekuja na mapya. Ni baada ya wawakilishi wa shirika hilo, kupendekeza adhabu ya kifungo kwa...
Kuondoka kwa wanajeshi hao, kunaweka kikomo kwenye mission ya SAMIDRC, iliyokuwa imeitikiwa na Tanzania, South Africa na Malawi. Baada ya kushindwa katika vita waliyokuwa wakipigana na M23...
Badhi ya raia katika wilaya ya Nyarugenge jijini Kigali, wanaomba uongozi na vyombo vya dola kuwahakikishia usalama wao. Ni baada ya kugundua kuwa wengi wao wapo kwenye orodha ya watu...
Mtumiaji wa X, alieandika ujumbe, kuwa mchungaji ni mtumishi wa shetani si wa Mungu, ataarifiwa kuwa Ofisi ya kushughulikia makosa ya jinai nchini, inachunguza kauli yake kama ni sehemu ya kosa...
Hivi, kifuatia mzozo unaoendelea mashariki mwa Congo; Rwanda inasema inaimalisha ulinzi wa mipaka yake. Mipaka yote ya Rwanda kwa sasa, inapakana na eneo la M23. Kwa maana, serikali ya DRC...
Kifuatacho hapo ni tofali za udongo, kubwa kuliko block za cement za kawaida. Kwa asilimia 99, tofali hizi hukaa muda kidogo, hivyo kutokuwa na uimara wowote.
Upepo mkali ukija, mara nyingi...
RIB yafunze abayobozi batatu mu kigo cy'Igihugu gishinzwe Mine, Peteroli na Gazi barimo Rwomushana Augustin, Kanyangira John na Niyongabo Richard. Bafunganywe kandi na Barwiyemezamirimo bane...
Hello Dear Friends from Rwanda, I would like to inform you that we can deliver your goods from China to Rwanda Via Dar es Salaam.
Below is our flight timetable for this week
Mu murenge wa Gatenga hari umunyerondo ukora Inzoga zitemewe akavuga ko ikibitera aruko bakorera amafaranga macye aricyo cyimutera gucuruza ibi biyobyabwenge.
Ikosa rikaba ribaye gukwirakwiza...
Mwamba hapa kachemka.
Mchezaji maarufu wa team ya APR/ Lague Byiringiro na familia yake. Lague alipokuwa Sweden kikazi, inasemekana ndipo alipooa mkewe kipenzi, na kumzalia watoto wa Kizungu...
Hari abaturage batishoboye, batujwe mu mudugudu wa Bahimba mu murenge wa Nyundo
mu karere ka Rubavu
binubira ko bategetswe gusezerana mu mategeko ngo babone guhabwa ibyangombwa by'inzu...
Nchi ya Rwanda, kama nchi zote zinazojitafuta, jijini Kigali, usafiri wa haraka na wa uhakika ni pikipiki,maarufu kama bodaboda.
Kazi hii, inakisiwa kuwa na masirahi makubwa ukilinganisha na kazi...
Ikigo gishinzwe kugenzura Ibiribwa n'Imiti mu Rwanda (Rwanda FDA) cyahagaritse ikoreshwa n’ikwirakwizwa ry’umuti wa ASPIRINE Vitamin C ukorwa n’Uruganda rwa USPA rwo mu Bufaransa.
Ni iki cyaba...