Kama wewe ni muajiliwa, thamini jasho lako.
Siku ukigundua kuwa kwa mwaka mzima, yaani jumla ya miezi kumi na mbili(12), unalipwa tu siku 12, basi jifunze kuthamini hicho unachokipata, ila...
Moja ya taarifa za awali, ni kwamba baada ya serikali ya USA kuingilia mgogoro wa kisiasa kati ya DRC na Rwanda, ni kwamba Marekani inaitaka kuhakikisha madini yake yote yanapelekwa tu Rwanda...
https://thegreatlakeseye.com/post?s=South--Africa--mulls--trojan--horse--plot--to--return--to--DRC,--derail--peace--efforts--_1823
Kama hii ni kweli, basi tujiandae kuuona moto zaidi ya ulioonekana
Na haya, ni sehemu ya maisha ya wanyarwanda. Ukiwa na flat TV,hata kama ni 15", wewe ni mlengwa wa kutembelewa na hawa jama wanaochimba na kutoboa nyumba. Bora huyu alikuwa na tofari imara...
https://x.com/btntvrwanda/status/1917923701779018161
Pichani, ni badhi ya waendesha pikipiki jijini Kigali, nchini Rwanda, baada ya kumkamata mtu anaedai kuwa ni askali polisi, kitengo cha...
Umuvugizi wa Guverinoma ya Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, Patrick Muyaya, yagaragaje ko impinduka zagiye ziba ku kibazo cy’umutekano muke mu Burasirazuba bw’igihugu cyabo ari zo zatumye...
Baada ya Paris Saint Germain(PSG), Arsenal na Bayern Munich, huko Hispania, timu ya ATRETICO de MADRID yasaini mkataba na serikali ya Rwanda pia, kuitangaza VISIT RWANDA.
Neno VISIT RWANDA...
Huko bungeni Rwanda, uongozi wa shirika la serikali la kukusanya mapato(RRA/ Rwanda Revenue Authority) limekuja na mapya. Ni baada ya wawakilishi wa shirika hilo, kupendekeza adhabu ya kifungo kwa...
Kuondoka kwa wanajeshi hao, kunaweka kikomo kwenye mission ya SAMIDRC, iliyokuwa imeitikiwa na Tanzania, South Africa na Malawi. Baada ya kushindwa katika vita waliyokuwa wakipigana na M23...
Badhi ya raia katika wilaya ya Nyarugenge jijini Kigali, wanaomba uongozi na vyombo vya dola kuwahakikishia usalama wao. Ni baada ya kugundua kuwa wengi wao wapo kwenye orodha ya watu...
Mtumiaji wa X, alieandika ujumbe, kuwa mchungaji ni mtumishi wa shetani si wa Mungu, ataarifiwa kuwa Ofisi ya kushughulikia makosa ya jinai nchini, inachunguza kauli yake kama ni sehemu ya kosa...
Hivi, kifuatia mzozo unaoendelea mashariki mwa Congo; Rwanda inasema inaimalisha ulinzi wa mipaka yake. Mipaka yote ya Rwanda kwa sasa, inapakana na eneo la M23. Kwa maana, serikali ya DRC...
Kifuatacho hapo ni tofali za udongo, kubwa kuliko block za cement za kawaida. Kwa asilimia 99, tofali hizi hukaa muda kidogo, hivyo kutokuwa na uimara wowote.
Upepo mkali ukija, mara nyingi...