Wilaya ya Korogwe Vijijini Mkoani Tanga kuna kero kwa Watumishi hasa Walimu kutolipwa pesa za uhamisho. Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Vijijini hawalipi kwa wakati pesa za uhamisho kwa...
HOTEL MANAGER MELIÁ ZANZIBAR
Área: Dirección de hotel
Ubicación: Dodoma, TZ
Req Id: 34724
"The world is yours with Meliá"
Continuing at Meliá means advancing on a journey without borders, seizing...
Shule ya sekondari St Patrick Hill School Kiserian iliyopo Kiserian nchini Kenya inatangaza nafasi za kazi kwa walimu.
Mshahara ni shilingi 350,000 kwa mwezi. Tafadhali fahamu kuwa mshahara...
Napenda kuanzisha uzi maalumu kwa watanzania wenzangu ambao wapo kwenye soko la ajira na hususa wale wenye nia ya dhati na kusudio la kupata kazi kutoka ndani ya mioyo yao hususa ni kwa wale...
Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24
Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba)
Mshahara ni 170k kwe mwez na posho...
Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025.
Baada ya...
Habari za asubuhi watanzania wenzangu.
Ninaomba kuuliza, hivi ajira za kazi kwa Benki ya Tanzania huwa zinatangazwa vipi. Na kama ukitaka ku apply inabidi uwe na vigezo vipi?
Nina ndoto...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina...
Watumishi walioajiriwa mwaka 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani hawajalipwa pesa ya kujikimu hadi sasa 2026.
Pia soma ~ Mkuranga DC wametulipa Fedha za Kujikimu sisi Ajira Mpya
Habari wanajukwaa?
Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu).
Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka...
Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu.
Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva.
Mimi ni professional Driver...
Natafuta mfanyakazi wa ndani
Habari za muda huu ndugu zangu, jamaa na marafiki.
Kutokana na mazingira ya kazi kuwa mengi, nimeamua kutafuta msaidizi wa kazi za ndani (House Manager) ambaye...
Kuhusu swala la uthibitishwaji kazini Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, watumishi wa idara mbalimbali wapo ambao wana miaka miwili, na mmoja mpaka sasa hajathibitishwa.
Watu wa Human Resources...
Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha...
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini!
Tukienda halmashauri...
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Kero yangu ni kwamba...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.
Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe...
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa.
Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni...