Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Hapa huwa tunakosea sana sana. Work under pressure ? Hivi nyie wasaka ajira kama mimi huwa mnaelewa maana yake? This is a real meaning of work under pressure
5 Reactions
8 Replies
682 Views
Kampuni ya ulinzi ya Security Group inatangaza nafasi za kazi ya ulinzi kwa wenye sifa zifuatazo; 1. Lazima awe raia wa Tanzania 2. Umri kuanzia miaka 21 hadi 35 3. Elimu kidato cha...
1 Reactions
9 Replies
48K Views
Heshima yenu wakuu. Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku. 1. Ninaishi Kigamboni 2. Umri wangu...
33 Reactions
513 Replies
44K Views
Habari wakuu, Naitwa Erick Bernard natafuta Kazi ya ualimu nimesomea early child hood. Sifa zangu Mpole na mwenye kuheshimu kila MTU Mchapakazi Ninafundishika Hofu ya Mungu ELIMU- degree ya...
2 Reactions
6 Replies
620 Views
UNAHITAJI KUDESIGN STICKERS & PRODUCTS LABELS,VIPEPERUSHI,POSTER NA LOGO YA BIDHAA YAKO? Usikubali bidhaa yako uize kiholela sokoni bila kuwa na utambulisho wenye muonekano mzuri na kuuzika...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Habari wakuu, Samahani kwa mwenye uelewa wowote kuhusu usahili kwa kada ya Afisa Afya Mazingira anisaidie, pia nakaribisha wanakada wenzangu tujadili kujiandaa na usaili. SHUKRAN IN ADVANCE
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji. Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia...
0 Reactions
2 Replies
345 Views
Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20. Miongoni mwa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu habari za siku, kama heading inavosema hapo juu, Kama mpo humu jukwaan Wasaka ajira wenzangu wa kada ya Forest Officers au waajiliwa mlioko kazini tusaidiane peana hints ili sote kwa pamoja...
1 Reactions
7 Replies
753 Views
Background KalTon Investment is a sole proprietor with registration number 515583. KalTon Investment is a financial services agent for Airtel Money, Mpesa, Tigo Pesa, HaloPesa, T-Pesa and Selcom...
1 Reactions
1 Replies
471 Views
Kwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke. Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa mtu anayejua kuhusu EU psychological evaluation anielekeze. Na jinsi ya kupata cheti kwa Tanzania.
1 Reactions
4 Replies
415 Views
Salama wana jukwaa, Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu. Elimu yangu ni "Bachelor of...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike, awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II, hata chini ya hapo siyo mbaya. Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na Kiswahili, hasa kuzungumza Kiingereza...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Internship for Tanzania Private Sector Strengthening Project The USAID-funded Feed the Future Tanzania Imarisha Sekta Binafsi (Private Sector Strengthening) project in Tanzania, implemented by...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Dreaming big is in our DNA. It’s who we are as a company. It’s our culture. It’s our heritage. And more than ever, it’s our future. A future where we’re always looking forward. Always serving up...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Background KalTon Investment is a sole proprietor with registration number 515583. KalTon Investment is a financial services agent for Airtel Money, Mpesa, Tigo Pesa, HaloPesa, T-Pesa and Selcom...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Salama wakuu, Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu. Elimu yangu ni "Bachelor of Business...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Back
Top Bottom