Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Naomba kwa anaejua njia ya kuaply kazi walizotangaza anijuze ni online au tunapeleka hard copy
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wana JF, Kwanza napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunipatia kazi mwaka huu wa 2014, pili natoa shukrani zangu za dhati kwa jukwaa hili kwa kunipatia updates zote kwa miaka miwili...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
NATAFUTA DEREVA MZOEFU WA LORY AINA YA FUSO TANDAM. LINALOFANYA SAFARI ZA MIKOANI NA NJE YA NCHI.KWA MWENYE VIGEZO HIVYO ANICHECK KUPITIA
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kuuliza anaemaliza diploma ya clinical medicine anafanya kazi gani au anachukua nafasi kama nani baada ya kumaliza masomo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jf,nimeamua kujikita katika ajira binafsi(ujasiria mali) kama kijana ili kujikwamua kimaisha hivyo naomba msaada wana jf kupata tenda ktk hotel au baa ya kuwauzia mbuzi kwa maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Wanajamvi, nimeitwa katika usaili na kampuni tajwa hapo juu. Kwa nafasi ya Ofisa Usambazaji hivyo kwa yeyote aliewahi fanya nao usaili/kazi kwa nafasi hiyo anaweza nisaidia maswali wanayoweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Kwa anaefahamu trainings za Audit firms hua zinakuaje, yani kwa mfano mtu ni graduate ana ka'degree chake tu cha Taxation, then aka'apply job kwenye hizi audit firms, then...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
We are looking for qualified University Graduates in structural engineering field. with both siteworks and studio experience. PLS SEND CVs and TRANSCRIPTS to nabiljosh@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
958 Views
habari wana jf nimemaliza chuo july mwaka huu nilikua nachukua b.a with education natafuta tempo yeyote kwa sasa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu swala hili. Matangozo ya ajira hasa ktk taasisi za serikali yanapotolewa huwa wanasisitiza kuwa, kama unaomba nafasi ya kazi na huku umeajiriwa ktk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
If your a graduates and looking for job... Or you have been looking for job i have got a business idea and i want to partner with you just give me a call 0657088003 together we can your welcome
0 Reactions
62 Replies
9K Views
I am a third year business student at the university of Arusha ,persuing with BBA IN ACCOUNTING. I have the dreams of becoming an accountant or whoever whose tasks are related to financial...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
, KINMAN ELECTRICAL & COMPUTER SERVICES COMPANY, privately owned by Mr.Robert, the company deals with  RESIDENTIAL AND INDUSTRIAL ELECTRICAL INSTALLATION GENERATOR INSTALLATION...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Wakuu msaada kwenu kuhusu kiwango cha mshahara hapo juu kwa mwaka huu 2014/2015
0 Reactions
5 Replies
14K Views
KCB is renowned for its diversity and growth in the Region is currently strengthening its support for group operations and business with the aim of maintaining Best Practice whilst also responding...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Any update from TIB BANK
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RADIO PROGRAMMES MANAGER Background Our client is a new Radio Station based in Njombe region . Njombe is an agriculturally rich region and has a population of more than 1.6m people according...
1 Reactions
1 Replies
872 Views
kwa anayejua lolote please!.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yeyote mwenye diplo ya cl/officer ambaye anatoka wilaya yeyote ya pwani na anataka kuja dom wlya ya Bahi tuwasiliane 0684859261.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Hawa jamaa wameniita niende kwenye usaili Wa part time IT teacher for secondary school, Naomba kwa anayewafahamu kinagaubaga anifahamishe kuhusu interview zao Thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom