Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wana JF, Mimi ni kijana umri miaka 23 nimemaliza Diploma ya Pharmacy mwaka juzi nahitaji connection ya kuuza DLDM au Pharmacy au kazi yeyotee maana saiv yukiangalia taaluma tutalala njaaa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tulichokisikia na kukiona ni muendelezo wa ujinga na umbumbu la baraza letu la mawaziri yaliyote yaliokosolewa na kurudishwakwa bajeti ya wizarani ya nishati na madini yalipita mbele ya baraza la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za humu wadau, Naombeni ushauri juu ya hili, ndugu ni mtaalam wa ICT Programming position mtumishi wa umma amepata invitation ya kushiriki katika kutengeneza mfumo kutoka kampuni ya...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Tuna hitaji kuajiri wakili kwenye law firm dar, awe ni fresh graduate, mwanaume, umri usizidi miaka 30. Mwenye sifa hizo anaweza kuni pm. Nawasilisha tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za sa hizi mimi ni msichana miaka 21 elimu form four na nnajua computer kidogo nshawai kufanya kazi kama cashier hotelini,Natafuta kazi yeyote kwa sasa ivi asanteni ukisikia tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nimemaliza chuo 2013 NIT Diploma of Logistics and Transport Management. Tafadhali kwa mwenye kuhitaji mtu wa kumwajiri, hata kama ni kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye detail kuhusu majina ya konsitebo wa zima moto tafadhali tujulishane kama majina haya yametoka kwa ajiri ya usaili Ntashukuru kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za wakati huu; Wakati ukiendelea kutuma barua kuomba ajira katika sehemu mbalimbali unaweza pia kutumia elimu yako kutafuta solution ya moja ya changamoto za elimu ikiwa ni pamoja na kutoa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
"Si kuwa kumbu kumbu zote zaweza kuwa nyaraka ila nyaraka zote ni kumbukumbu." "Taarifa au habari ina thamani kubwa sana lakini pia ni kobora la hatari inayoweza kuteketeza ndani ya muda mchache...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The rate of youth unemployment hike every year in Tanzania as many graduates remain employed ,the government of Tanzania set aside fund to empower Youths and organization including farmers.but...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiwaza hiki kitu na sasa ningependa mnisaidie ufafanuzi kupitia mfano huu. Mara nyingi unapoomba kazi unaambiwa uweke referees. Je, ni lazima uweke referees ambao wanatoka sehemu ambazo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mm ni msichana wa miaka 24 natafuta kazi km waitress kwenye mahotel uzoefu wangu ni miaka miwili.. Naishi Dar es salaam Kinondoni B.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sifa za mwambaji Awe mkazi wa Mwanza (Nyamagana / Ilemela) Awe na elimu ya kidato cha NNE Awe na spidi ya Ku type Awe msichana Umri miaka 16-24 Tuna Maombi kupitia email Joyceissack@gmail.com...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jubilee Insurance Company of Tanzania is a top ranking insurance company operating in Tanzania. They wish to recruit the following personnel for their head office in Dar Es Salaam. GENERAL...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kweli hii ni haki kwa wa tz? mbona tunaenda pabaya sana? tumevumilia twiga kuibiwa na jengo hilo wanataka kuliba nini? mweeeeeeee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf, hv ni halali kwa mtu mwenye bachelor ya ualimu na ambaye anataka kujenga C.V kufundisha hizi shule za msingi za kiingereza maarufu kama medium primary schools?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
natafuta kazi sichangui kazi, nina certificate ya business administration nipo tayar kufanya kaz yoyote na ni mtu ambae nafundishika kwaharaka nina uwezo wa kuongea kingeleza vizur. pia waweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIBU MAHSUSI III - NAFASI MOJA (01) NA MTENDAJI WA KIJIJI III NAFASI MOJA (1) Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba inatangaza nafasi za kazi zilizotajwa kama ifuatavyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Kuna nafasi za kazi katka grocery mpya maeneo ya sinza. malipo mazuri na ni makubaliano. Kizuri zaid kuna chumba cha kupanga ready kwa wahudumu. Tafadhal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anyone with opportunities ranging from project management post to monitoring and evaluation post am available to work anywhere in This country
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom