Hii nchi imeshauzwa nini? Court of apeal building wanabomoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nchi imeshauzwa nini? Court of apeal building wanabomoa?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mitomingi8s, Aug 24, 2011.

 1. Mitomingi8s

  Mitomingi8s Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamani kweli hii ni haki kwa wa tz? mbona tunaenda pabaya sana? tumevumilia twiga kuibiwa na jengo hilo wanataka kuliba nini? mweeeeeeee
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  huenda mahakama nayo imepata mwekezaji,upande moja utakuwa hoteli ya kitalii na upande wa pili mahakama,kama kawaida hii ndiyo Banana republic na itakuwa hivyo milele,ni kama vile mzee wa butiama aliichia radhi
   
Loading...