heylo guys!
nawashukuru sana mnaosoma hadithi zangu
nawapenda mno,
la mwisho:
Wote nawapenda
Wote mnaruhusiwa kunipenda, Mungu ameagiza tupendane na kumpenda jirani yako
Ila naomba wale wanaoenda...
"Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi"
Ni maneno yaliyonifanya nisome vizuri texts za huyu jirani yangu hapa kwenye bus la kwenda Dodoma usiku huu.
Ni mzee wa makamo kama na 45-50 hivi. Binti...
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda...
Jana nilikuwa na jamaa mmoja anajiita Dalali wa mapenzi, na hata ndio maongezi yake
Dalali: money penny bwana inabidi upewe maua yako??
Money penny: ya kwenda wap me natafuta hela
Dalali...
Unakuta Wewe Mwenyewe kabisa ukijiangalia na hata Kujipimia Kimoyomoyo Maumbile yako ( Uume wako ) ama unauona ni mdogo au wa Kawaida lakini kila Mwanamke unayekutana nae ataulalamikia kuwa ni...
Punguzeni Upendo maana Upendo ni Kero.Yaani unampenda mwanamke Hadi anajiona ni kama hayupo huru.Anaogopa Hadi kukuchiti Kwa Upendo unaompa.
Kila muda unamtumia meseji ya kumjulia hali hutaki...
UKIMYA nao ni SAUTI ambayo inatakiwa KUSIKILIZWA.
Ukimuona Ndugu,Rafiki,Mwenzi n.k..wameanza kuwa wakimya tofauti na zamani, usipuuzie.
Sio kila mtu anakuwa na UJASIRI wa kuongea anachopitia...
Nina muda mrefu kidogo nawasaidia wanawake na wanaume kuoana. Nawashauri mambo yafuatayo:
1. Usitafute mtakatifu, hayupo hutampata.
2. Punguzeni vigezo vya kuchagua umtakaye, dunia imebadilika...
Haijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15.
Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike...
~ Naishi Dar
~ Mkatoliki
~ 28 yrs of age
~ Nina mtoto 1
~ Mwajiriwa
Niko serious nahitaji baba wa familia, hata kama sipo najua wanangu wako mahala salama.
Kwaresma njema.
Sent from my SM-A125F...
Waungwana kwema?
Wale wa kataa ndoa endeleeni ninawatia moyo ili mtafute amani yenu na sisi tunaotaka kuoa tuwe makini kuchagua na wenye majukumu ya kitaifa tunawatia moyo
Ninaulizia sehemu...
Wakuu,
Hivi mnaona ni sawa kwa mwanaume kulala bila nguo kabisa? Yaani bila hata bukta wala boxer
Ikitokea dharura usiku utafanyaje? majambazi wamevamia au moto una waka.
Mi naona mwanaume...
Wakuu,
Kuna mwanamke flani Niko nae kimahusiano miaka kadhaa, mwezi ulopita kwenye tarehe ishirini na kitu hivi, ilkuwa ni birthday Yake kutimiza miaka kadhaa kiumri.
Nami Kama mwanaume wake...
Sio ujinga ila imekuwa kukomoana siku hizi. Yaani kama mmeachana basi kila mtu anatoa vijembe vyake kumuumiza mwenzake.
Kama una ex wako bora kufuta namba yake [emoji23]
Habar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali...
Nyie wanawake wa mjini mpewe maua yenu tafadhari. Mmekua watu wazuri Sana kwa wanaume majasiri, wanao jituma na wanao jipenda.
Mmekua ni watu wa straight to point hamna mambo mengi, mmefanya...
Ni ajabu kuona mwanamke mwenye akili timamu analifurahia hili na kuliona lipo sawa.
Hivi hamuoni zile juhudi za mama zenu na Bibi zenu kuwapigania msiwe chombo cha starehe mnazihujumu na...
( )
Nafasi iliyo wazi ni ya salamu zangu asubuhi hii. Kwa kweli miungu na asili hupenda haki mno.
Katika kila ufanyalo uwapo peke yako, ukiamini upo peke yako basi unajidanganya. Kuna viumbe...