Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa...
Zingatia hicho kichwa hapo juu
Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda...
Yes mpenzi H nmeshindwa sasa , its cool to admit
this break up i swear it will not be easy ,it'll do me dirty but my heart no longer beat for her.
Yes ni vile uliniona ni great guy with sense...
Matokea mengi ya vinasaba au DNA yanaonyesha katika ndoa nyingi kuna mtoto ambaye baba yake si wa ndoa hiyo pasipo kujua.
Je tatizo ni uaminifu katika ndoa au kuna tatizo lingine likiwepo na...
1. Don’t ever beat your wife for any reason. Prov.19:11, Prov. 20:3
2. Don’t ever forget that your wife is your greatest asset. Prov. 12:4, Prov. 18:22
3. Don’t ever forget to check the level...
Uki refer heading ni namaana ya kuuliza ya kuwa huu msemo unaosambaa ya baba mwenye nyumba kulala na binti yake au mama kulala na kijana.
Hivi haya mambo kweli yapo au inakuaje. Sasa huo tuseme...
TANZIA :
YONA FARES MARO AMETANGULIA, AMEACHA UJUMBE HUU
"Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi.
"Tukio la jana usiku na leo asubuhi...
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.
wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia...
Nimekuwa nikipendwa sana na wake/madem wa watu, na kwakuwa najiheshimu mno ni wachache sana ambao wamebahatika kugegegwa nami.
Hawajawahi kujuta kuwa nami, wakiamini nawagegeda barabara kuliko...
Nimemsoma dada mmoja kwa masikitiko sana jinsi ambavyo ameahidi kwenda kugawa sehemu yake ambayo inapaswa iwe ya siri huyu dada aliolewa akawa anafanya tendo la ndoa na mumewe sababu ndo analala...
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana.
Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao.
Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa...
Habari wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo
1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki...
Salaam,Shalom!!
Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau...