Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Naumia sana, nateseka sana nimepambana vya kutosha kutongoza hadi nimemshawishi mwenzangu tuishi pamoja lakini tatizo hanipi ushirikiano kwenye kunipa tunda. Yaani wakuu hakuna kitu...
38 Reactions
153 Replies
6K Views
Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda...
10 Reactions
54 Replies
7K Views
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli. Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya...
5 Reactions
129 Replies
11K Views
Signed out
42 Reactions
444 Replies
15K Views
Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
4 Reactions
7 Replies
978 Views
1. Wapendwa nijuzeni, huko ndani kuna nini? Tangu zama nilidhani, huko ndiko utamuni, ni punde nimebaini, si kutamu asilani, Huko ndani kuna nini, wapendwa nijuzeni 2. Kiumbe huyu makini, hakomi...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
2 Reactions
4 Replies
467 Views
WAKIKUKOSA WALIPOENDA KUKULINGANISHA USIKUBALI WARUDI TENA KWAKO. Ukiona mtu karudi kwako tena usishangalie bali jiulize haya: #Kwanini aliondoka? #Kwanini karudi tena? #Wewe si yule yule...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Yan Hongsen mwenye umri wa miaka 11 tu kutoka nchini China aliyepewa jina la utani "Rocket boy" amekuwa gumzo katika mitandao na vyombo vya habari duniani. Hii ni kufuatia kuweza kutengeneza na...
4 Reactions
15 Replies
961 Views
Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa. Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho...
50 Reactions
111 Replies
9K Views
Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume. Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie...
9 Reactions
88 Replies
2K Views
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike. Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume. Wa kiume hela zao ni za kulisha...
30 Reactions
143 Replies
6K Views
Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia. Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na...
33 Reactions
72 Replies
4K Views
Salaam Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Katika kumi na nane za kula apple 🍎 kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Zamu yangu ya kutesa imewasili. Binti flani hivi rangi ya chocolate, mwenye macho fulani hivi ya huruma, mtu wa kujishughulisha sana mara nyingi nalimuona katika hali ya u-busy, hakunipatia salamu...
3 Reactions
8 Replies
661 Views
Shalom, Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi. Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth. Jamani acheni maisha yaitwe...
1 Reactions
3 Replies
710 Views
Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa...
2 Reactions
1 Replies
568 Views
Habarini wakuu, Nimekuwa nikisense silent treatment from my mum nashindwa kuelewa nimekosea wapi. Ila nimejitafakari nikaona tukiwa tunajadili mambo na story za hapa na pale ikatokea Kuna...
6 Reactions
11 Replies
660 Views
N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali –...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…