Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wakubwa huwa wanakuwa na ladha tofauti ikija kwa maswala ya mapenzi – ile ambayo wanaonyesha kupenda wanaume wadogo kiumri. Na kwa sababu wanaume wengi huwa wanavutiwa na aina hii ya...
5 Reactions
80 Replies
52K Views
Leo Rafiki yangu kanisimulia👇🏻 Jamaa anasema, kuna mwamba alioa mwanamke mwenye mtoto wa miaka saba, akamlea yule binti kiroho safi kabisa na kwa upendo japo si bintiye akamsomesha inshot huduma...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe...
12 Reactions
39 Replies
4K Views
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume...
4 Reactions
58 Replies
21K Views
Habari, Natafuta mwenza wa maisha. Ambaye tutapendana kwa dhati umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mm ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 37. Karibu pm tuyajenge
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Inauma Sana Unapojiona Mpweke Inaumiza unapokuwa gizani, bila mtu wa kujali. Lakini, kitu cha kwanza unachopaswa kujua ni kujipenda mwenyewe. Anza kuelewa kwamba jambo la kwanza unalopaswa...
2 Reactions
1 Replies
461 Views
........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
19 Reactions
101 Replies
12K Views
Hamna dogo nyinyi,staha wala adabu mtu unajitahidi kwa uwezo wako wote mpaka jasho linakumiminika,vikengere utamu mpk vinachemka lkn mtu bado anakuambia unafanya mapenzi kama bata!!..😠 Bata! sure...
23 Reactions
44 Replies
2K Views
Panapo fursa yoyote ya kusema ukweli ni vema tuseme, wanawake Waganda ndio vinara wa kuwa na matako mazuri kweli kweli, Sina mengine kuhusu nyashi au mizingo hao wanawake Waganda hawana mpinzani...
19 Reactions
165 Replies
12K Views
Hakuna mambo yanachekesha kama harusi nyingi za miaka hii🤣 wazazi wenu wanajua hamjawahi "kushenyentana" Wanajua mnaenda honey moon kufunguana kwa mara ya kwanza kumbe movie mlishaicheki hadi...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Wadau JF, Nataka leo tuambizane ukweli kwanini sisi wanaume warefu dark tunawapagawisha sana watoto wa kike. Kwa mfano mimi wanawake walikuwa wanapigana kwa ajili yangu toka O level, A level...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Jaman Leo hata siwasalimii, najua nimechokoza nyuki. Nyie wanaume warefu mnakwama wapi mbona mnaongoza kwa vibamia na urefu wenu tulitegemea muwe na mizigo ya maana ya kutufikisha kwenye kilele...
13 Reactions
249 Replies
30K Views
Akili mnemba ndio habari ya mjini hatimaye kwa mara ya kwanza kupitia Gemini somebody daughter kaingia kwenye mfumo. Naungana na waliosema teknolojia imekuja kurahisisha maisha.
10 Reactions
20 Replies
7K Views
Nina kisa kili nikuta mwenzenu. Sijui natokaje hapa ili nisahau hii hali. Kila nikikumbuka nakosa amani kabisa. Iko hivi, kuna demu mmoja wa kiarabu mtoto shombe shombe rangi nyeupe kama vile...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k Mwanamke ni mbinafsi, katika...
98 Reactions
270 Replies
12K Views
Intro: Bila salamu. Literature Review: Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini, Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako. Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila...
15 Reactions
41 Replies
2K Views
Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari za humu wakuu mimi maisha yangu na huyu mwanamke yamekuwa ni ya ugomvi kila wiki haiishi bila kugombana. Ugomvi mkubwa hasa ni wa tendo pia ni mtu wa kununa kila wakati sasa tunae watoto...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa. Hiki kisa kila nikikumbuka huwa nacheka sana lakini kimenifanya nimwamini sana mke wangu. Mnamo mwezi wa pili mwaka huu, ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa nyumbani maeneo ya...
25 Reactions
53 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…