Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
si vibaya ukiusikiliza nawe ukachangia ule uupendao hasa kama ni wa mapenzi
0 Reactions
65 Replies
19K Views
Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka...
2 Reactions
9 Replies
639 Views
KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna...
2 Reactions
8 Replies
941 Views
Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana💞 Unawaza hiki na kile, unawaza ukifika na....🙌🏿 Yawezekana na wewe muda huu uko njiani, unajiandaa kwenda...
0 Reactions
5 Replies
236 Views
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo. Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti...
51 Reactions
104 Replies
7K Views
Katika maisha ya kawaida binadam kusaidiana ni kitu cha kawaida. Haijalishi unamfahamu au humfahamu kama mtu anahitaji msaada msaidie tena bila kutegemea kitu chochote in return. Kuna hii tabia...
10 Reactions
76 Replies
3K Views
KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka Tangulia kitandani kavurunge alivyotandika jifanya umelala na umetawanya miguu yako maana akija kulala akute umevurunga shuka atakuambia umke atandike...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu. 2. WADANGAJI hawajawahi kuwa na upendo siku ambazo mifuko haina kitu. 3. WADANGAJI hawawezi kukuletea uji ukiwa hospital au...
2 Reactions
5 Replies
533 Views
Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf. Naomba ushauri wenu great thinkers.. Mimi nimeolewa yapata miaka 9 sasa nina watoto watatu. Mume amenizidi umri kwa miaka mitano. Ana watoto wa nje ya ndoa wawili ambao...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, natumai wote ni wazima, Naeomba niende kwene point direct, ni kwa muda sasa nimekaa na kutafakari kuwa siwezi kuendelea kuwa single kutoka mwaka huu,nimefanya juhudi za...
3 Reactions
103 Replies
6K Views
Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa). 2. Siwezi kuacha kuwasiliana na ex/mzazi mwenzangu...
27 Reactions
77 Replies
5K Views
BARUA YA WAZI KWA DADA ANGU KIPENZI Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako 1. DADA ANGU mwema mwanaume...
1 Reactions
2 Replies
710 Views
Waungwana sijui ni mizimu ya aina gani nakosa mzuka kumnyandua Mwanamke Ambaye hajavaa Shanga, nachafukwa nikiona demu hajavaa shanga na hana kawaida ya kuvaa shanga. Naboeka sana na aina hio ya...
5 Reactions
12 Replies
835 Views
My sister Haijalishi ni mara ngapi mwanaume wako anakuposti, Always lazima kuna yule mwanamke wake pembeni ambaye anaelewa kila kitu na ameridhika.
4 Reactions
9 Replies
771 Views
Hivi ndivyo mwisho wa wanaume wengi kwenye mahusiano yao hasa wale wanaosikiliza sana machozi ya mwanamke na kuwajali zaidi kuliko kujipa wao kwanza kipaumbele. Mwanamke ambaye hajatoka kwenye...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Am loosing it. Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down. Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana. Leo kiutani...
59 Reactions
606 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…