Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii, Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini...
3 Reactions
4 Replies
626 Views
Mume wangu aliponichoka. Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4] Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe" Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee" Nikimuomba anisaidie...
62 Reactions
444 Replies
30K Views
Wanaume kamwe hawatongozi wanawake wenye status kubwa kuliko wao. Ndiyo maana huku kitaa wadada wakali sana huwa hawaolewi, ni kwasababu wanaogopwa na kila mwanaume. Lkn hawa wenye sura kama wako...
14 Reactions
81 Replies
4K Views
Habari waungwana. Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa. Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei...
16 Reactions
117 Replies
4K Views
Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo...
16 Reactions
127 Replies
6K Views
Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake? Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata...
3 Reactions
8 Replies
826 Views
Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua...
12 Reactions
100 Replies
8K Views
Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto...
23 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
5 Reactions
144 Replies
25K Views
Salaam wanajamvi!Natumai mu wazima wa Afya! Poleni wote munaopitia changamoto mbalimbali M/Mungu awafanyie wepesi Niende moja kwa moja kwenye mada husika. SIRI NZITO[emoji24]!! Wiki mbili...
16 Reactions
57 Replies
5K Views
Kama wengi mnijuavyo , Basi bwana ngoja leo nitoe madini kwa hawa ndugu zetu madomo zege (loosers).Kama wewe ni domo zege basi huu ni wakati wako wa kuchukua ufundi kutoka kwa wazoefu ili na nyie...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we...
8 Reactions
13 Replies
639 Views
Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara...
8 Reactions
161 Replies
6K Views
Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
👋 Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi. Sasa alikuwa...
14 Reactions
167 Replies
8K Views
Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi. Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
9 Reactions
53 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…