Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo. Taarifa fupi ni hii.
34 Reactions
339 Replies
14K Views
Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
Hakuna tofauti kati ya Single Mother na Single father, Ukiona mwanaume na mwanamke wameachana tayari wakiwa wameshazaa kama mwanaume unaogopa huyo mwanamke ambae ni Single Mother basi na wanawake...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ina maana gani kuporomosha matusi mazito mazito wakati wa kufanya tendo la ndoa tena na mtu wa ibada kabisa na mwenye heshima anaeheshimika kwenye jamii? kwani hakuna maneno mengine hadi...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya. Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani? Kwa upande wangu mwanamke muongo...
7 Reactions
364 Replies
27K Views
Wanawake wanapigana vita vingi. Kutafuta mume ni vita, ukimpata mume bado shida zinabaki palepale, mume hatulii, akipata visenti vyote anamaliza nje na wanawake wa kila aina. Pesa zinapotea, afya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawasilimu wana JF Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana. Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe...
2 Reactions
9 Replies
742 Views
Natumai mu wazima wa afya, Twende moja kwa moja kwenye maada kuu, kama watu wa kiroho wanavyotafsiri alama hii 11:11, kuhusu alama hiyo kwa upande wangu kila siku naiona kwenye mizunguko ya...
0 Reactions
9 Replies
743 Views
Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza...
2 Reactions
10 Replies
488 Views
I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and...
22 Reactions
74 Replies
3K Views
Kuna jambo la kushangaza kidogo. Kwa mujibu wa maandiko matakatifu katika biblia,kuna laana zilitamkwa na Mungu baada ya wazazi wetu kufanya dhambi. Katika laana zilizotolewa,ni pamoja na ile kuwa...
5 Reactions
7 Replies
849 Views
Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel. Mwanaume mwenzangu anza kupiga...
15 Reactions
152 Replies
5K Views
Wakuu Wala sina maelezo mengi, kichwa chajieleza. Jiweke mbali na mapenzi
13 Reactions
52 Replies
2K Views
Hivi kuna watu humu wapo kama mimi? Mimi bhana katika maisha yangu sijawahi kuwa na rafiki wa kudumu eti niseme huyu nilicheza nae, nilisoma nae shule ya msingi au secondary alaf mpaka sasa...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Ivi ushawahi kujiuliza kwanini 1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume? Namaanisha A. Mzuri wa umbo B. Mzuri wa kili C. Mzuri wa utafutaji D. Mzuri wa Dini E. Mzuri wa Tabia na maadili Yani...
3 Reactions
69 Replies
3K Views
Kama mwanamume nilijisikia vibaya ila kwa lile Traako no ilikuwa lazima nichape Kuna demu alipata kazi za muda mkoa ninaofanya kazi sasa kuna siku natoka kazini nikapitia hapo ofisi yao uwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA 👇 Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women 🚺 hakatai...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Habari Wakubwa, Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi. Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…