Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwema Wakuu! Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi. Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana. Hakuna kwenye...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Hello Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe mkristu,kabila lolote. Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au...
3 Reactions
8 Replies
865 Views
Wanawake wa Sasa Wana shida ? X-wangu watatu Sasa hawaolewi walileta swaga za kuweka masharti magumu nikazengua Sasa wanateseka wamezeeka kabisa mmoja yupo35 Kama yupo 50 Mwingine yupo 33 Kama 45...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Hello jf ladies Nifanye nini ili ukubali kuwa mpenzi wangu
1 Reactions
1 Replies
366 Views
Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa kutumia data za mashirika mbalimbali yanayofanya utafiti kuhusu maambukizi ya magonjwa yanayotokana na zinaa kama Ukimwi, kaswende, kisonono na mengine (assumption: kundi lililoathirika zaidi...
14 Reactions
112 Replies
23K Views
Wakuu habari za jioni. Mtaani kuna msemo usemwao 'kibamia'. Mara nyingi huwa najiuliza ili mwanaume uwe na kibamia, urefu wa mtalimbo wako unatakiwa uwe na inchi ngapi? Na ambao sio kibamia...
0 Reactions
129 Replies
21K Views
Mnakesha kwenye nyumba za ibada kuomba waume wa kuwaoa. Ila mkishaolewa mnazidisha kiburi, umalaya, uvivu na uchafu wa mwili. Hiyo NDOA itadumuje?
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Usimtukane mamba wakati bado hujavuka mto! Niwe tu mkweli huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi ila kwa faida ya wanawake wenzangu ngoja leo nisimulie kakisa haka kafupi kaukweli...
22 Reactions
119 Replies
20K Views
Nilidhani kuna wanaume baadhi ambao sio wanene hawana vibamia.Kumbe bwana ukiona mwanaume analikitambi mpaka linamshinda ujue kibamia anacho. Nimekutana na bwana mmoja hivi ni mtu na mihela yake...
15 Reactions
208 Replies
23K Views
Mambo vipi, wanasema kuuliza sio ujinga. Huwa nasikia simulizi za kibamia, sasa leo nataka kujua hicho kibamia kinapimwaje yaani kuanzia inchi ngapi kushuka chini? Narudia tena kuuliza...
0 Reactions
56 Replies
26K Views
Ulee mke Ulee familia Utunze akiba Watoto wasome medium Etc Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara...
2 Reactions
5 Replies
459 Views
Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye...
24 Reactions
79 Replies
3K Views
Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz. Looooh....Najutraaa Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Kwenye mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake like everyday ile kumjulia hali na siku yake imeendaje? Au inatakiwa iwe effort iwe inaendana...
19 Reactions
489 Replies
20K Views
MWANANGU Ukioa jambo la kwanza ili uheshimike kama mwanaume inatakiwa kwanza watu wamheshimu mkeo. Kama mkeo haheshimiki hapo mtaani kwako, basically wewe ni kitu cha kutupwa. Tena inawezekana...
5 Reactions
9 Replies
720 Views
Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi. Alikaa kimya kwa muda...
10 Reactions
124 Replies
8K Views
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy...
9 Reactions
28 Replies
891 Views
Kama umepambana na una Mali nyingi usioe. Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu. Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia. Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…