Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku...
Yaan hata kama umeoa Pisikali , wee hakikisha haiwi maarufu Kwa namna yoyote uwezavyo.
Ukimkuta ni Maarufu tayari yaan Kwa siku akipost kitu mitandaoni anapata Likes kuanzia 2K na comments...
Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani...
Wakuu salaam.
Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta
Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu...
Yani we muda wote mawazo yako ku.se.x tu, mi nmechoka siwezi
Juzi nlikupa jana tumefanya na leo unataka tena? mi nimekuwa mashine? sitaki niache huko tena unikome.
Tumbo linaniuma sitaweza...
Eti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji...
Habari wadau ...
Miaka inakwenda hairudi nyuma, kuna wale wenzangu walio na malengo ya kuoa / kuolewa kabla ya mwaka huu wa 2025 haujaisha.
Hebu tupeane mikakati hatua tulizofikia, Inaweza kuwa...
Salamu wakuu,
Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri.
Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana...
Wakuu kwema?
Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata...
I kissed my female friend kazini.
Ilianza huyu dada ni rafiki yangu kazini na alikua ananleteaga zawadi , we hangout and i do the same , mimi i thought we are just friends ila upendo wake ndio...
Hello Wadau wa JF!
Weekend ipo vipi pande hizo?
Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni.
Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo...
Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa...
Habari za wakati wakuu, nimejikuta najiuliza hili swali, kwanini nature iko katili saana kwa wanaume? Yaani watoto wanajua madhaifu ya baba ila hawajui dhaifu la mama hata Moja,
Wanaume...
Habari zenu,
Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
Wanajukwaa am puzzled! Nimeduwaa!
Nimekuwa naenda kiwanja fulani basically nina asili ya upole, utu, busara, hekima, mapungufu hasira na pia ni typical introvert (reserved), kawanda sana sipendi...
Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana
-Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake
-Hawezi kudumu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.