Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Taarifa zilizotolewa kwenye vyombo mbali mbali vya habari hivi punde zimeonyesha kuwa mabinti wengi kati ya miaka 18-35 wanachekelea kuliwa Tigo. Sababu za kuliwa Tigo zimeelezwa kama ifuatavyo...
6 Reactions
72 Replies
32K Views
Watu wengi sana wanalalamika mara utasikia "siwezi kumuamini mwanaume/ Mwanamke maishani mwangu" , mwengine anasema binadamu wabaya,wengine wanasema "usimuamini mtu yeyote " n.k lakini uhalisia wa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Wapendwa WANAUME, Ikiwa mwanamke anakupenda kiukweli, vitu pekee ambavyo atatamani kutoka kwako ni mapenzi, umakini, na uhusiano wa kihisia—hii ndiyo misingi ya upendo wa kweli (eros). Walakini...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Inatupasa kutambua tunu kuu ya wanadamu dhidi ya wanyama wengine ambao wameumbwa na mola wetu. Kipekee mola wetu alikuwa vizuri kutuwekw level ya juu kwenye utashi wa kunyandua kwa kutupatia vibe...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati nilipokuwa shuleni sekondari o-level enzi hizo pale Tanga Tech, japo ilikuwa ni bweni na ukali wa head master Mr Teti, mara kadhaa mimi na marafiki zangu tuliweza kutoroka na kutinga sehemu...
2 Reactions
1 Replies
869 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema Napenda tu kujua ni kwanini mkiwa na michepuko huwa mnawongelea vibaya Sana waume zenu ambao ukitoka Kwa mchepuko wako unarudi nyumbani kwake? Mnapata ujasiri...
6 Reactions
91 Replies
3K Views
Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina...
2 Reactions
6 Replies
720 Views
WATU HUJA KWAKO KIMKAKATI,MVUTO WAKO KIMUONEKANO NI ZIADA TU. Wenye upeo mkubwa wa kuona mbali hili si jambo geni wanaelewa kabisa kuwa mvuto ni kitu cha ziada tena pengine kikawa na nafasi ndogo...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Aisee nilikua na Pisi moja hivi nimekaa nayo miaka 4 aisee tokea akiwa form three mpaka alivofika chuo .. alikuja mkoa ninaoishi kwa ajili yangu. Tatizo lilianzia hapa Aisee...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Iko hivi, mimi nina wanawake watatu ambao nilikuwa nadate nao. Katika hao watu watatu mmoja yuko vizuri kiuchum, yaani anajiweza na ni mtu ambae ametokea kwenye familia ya kishua lakini ni mtu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa mawazo mke wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Ukisoma kisa cha patrickk na reply za wadau, utagundua % kubwa ya wanawake desperate wanaotutesa ktk mahusiano, wanatengenezwa na sisi wanaume. Imagine umekutana na wanawake...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye; ✍️Kuna...
79 Reactions
113 Replies
13K Views
Ni aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake ...
8 Reactions
15 Replies
710 Views
Wana JF.Naomba ushauri wenu.Nilikuwa na ex boyfriend ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.Nilimpenda sana huyu kijana.Nilijitolea muda wangu na nilifanya kila mbinu...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
MREJESHO; NILIMPA MWANAUME MTAJI AKANAICHA NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE! Kila kitu kilikua kizuri, tulipanga kuhusu kuoana. Wakati namaliza chuo nilikua na pesa yangu kama milioni tatu hivi...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaam jamiiforum Hii ni ijumaa,ni weekend ndogo kwa baadhi ya wafanyakazi wavivu na hata wanafunzi,mtu anajikuta tu haendi kazini bila sababu za msingi.kwa leo hata Mimi ni mmoja wapo Leo...
12 Reactions
26 Replies
1K Views
Women are smart, yooo. Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla...
18 Reactions
77 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…