Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume.
Mpo kwenye era mbaya sana,
Niwape pole Kwanza.
Era yenu kila kitu kinataka pesa eti.
kufuga...
Wakuu,
Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri...
Wakuu sasa hii ni too much..
Najaribu kuheshimu watu hapa ambao kimakamo unaona kabisa ni kama dada yangu au mama yangu mdogo ila mambo niliyokutana nayo nashangaa naona sasa ni pepo.
Hivi...
Habari za jioni wakuu
Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu...
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu mliwezaje kuwapata?
Mwisho...
Wakuu,
Mila na desturi ni mtindo wa maisha wa jamii waliojiwekea wanajamii kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Mila na desturi zinaweza kuwa ni mtindo wa maisha wa mwanadamu kama mavazi, chakula...
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe
Unapiga nguo pasi mwenyewe
Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe
Unajitandikia kitanda mwenyewe
Unajiandalia chakula mwenyewe
Unaishi...
INTRODUCTION
Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.
PROBLEM
Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI...
Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili...
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,
Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina...
Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu.
Ofcoz inakuwaga mziki sana...
Mwadila
Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa.
Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti...
Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.
Msichana wa Kazi za ndani mwenye umri wa miaka 13...
Wazee wa mahaba mpo?
Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini?
Kama anafanya kazi nyingine...
Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito?
Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40.
Vipi ingekutokea...
Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo.
Kwanini utembee na mke wa mtu?
Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako...
Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie.
Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini...
Habari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa...