Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa...
Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025
Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba.
95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. .
5% ya wazazi...
Ndivyo navyoweza kusema,
Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani
Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya...
Tena huyo mmoja presha juu.
Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣
Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi.
Una akili kweli?
Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia.
Tusiposhtuka tutabaki...
Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki
Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia...
Kuna sehemu hivi huwa napiga menu ,ni hii migahawa ya mtaani maarufu kama kwa mama ntilie.so nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na huyu demu,ebana she is very loyal and respective kwangu.
Jana...
Happy Valentine my babe,
Sweety 🤣😍😘 napenda jinsi ulivyo,ngoja nishuke kikwetu.
I love the way your. Your all to me and I never knew that you love me. So much. I love u too.
I wish your here...
Habari za jioni!
Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli...
Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha.
Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za...
Salaam alaikum,
Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa...
Na kuunganisha tendo juu kwa juu mfululizo hata raundi tatu ina hatari yoyote labda kiafya miongini mwa wenza husika?
Nani ananyanyasika au anaathirika zaidi mathalani kwa uchovu au michubuko...
Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing
Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time
Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma...
Naam katika safari hukosi mwanamke hasa mweupe kiti cha kushoto kwa ajili ya service barabarani,,,manake nyama za oda mara kadhaa hugonganisha magari,
Basi kutokana na hali ya tamaa nagharama za...
Ndivyo navyoweza kusema
Watu wamesherehekea vyema na wapenzi wao ,kila sikukuu ina maana yake.
Wapo wanaotaka out kila weekend,.
Lakini outing ya Leo ni ya kipekee Kwa wengi.
Wapo wanakula...
MTAKATIFU VALENTINO, PADRI NA ASILI YA SIKU YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAY )
Siku ya Valentine Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi.
Ni siku ya kumkumbuka Padre Valentino aliyeuawa na utawala...