Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ninampa kila anachojitaji, tunakubaliana kukutana lakini hafanyi hivyo, mbaya zaidi ananiongopea, sio hivyo sijawahi kuonja hata siku moja sasa ananifanyia visa ananitumia Picha za mpenzi wake kwa...
4 Reactions
87 Replies
9K Views
Salama wanajamvi, Nilikua na msichana mmoja tangu darasa la 7, sekondari na hata sekuwah ku do nae ad tulpomaliza form four nilimpenda na nilmwamini sana kabla yaku do aliniambia yeye ni bi.k.ra...
0 Reactions
125 Replies
14K Views
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
53 Reactions
307 Replies
117K Views
Wadau habari zat weekend.Natumaini ni wazima. Leo naomba kuwekwa sawa kuhusu jambo hili.siku hizi vijana wengi wamekuwa wakijiua sababu ya mapenzi.Je ni sababu ya kupenda sana au ni kufikiri...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
  • Poll Poll
KARMA - Kidamali: Wewe Mwenyewe Ndiye Ilifika mahali sikuogopa tena kuuliza ni kiasi gani walichohitaji kuhakikisha mipango yangu inakamilika. Hali ilikuwa mbaya kiasi hicho. Rushwa haikuwa siri...
26 Reactions
79 Replies
8K Views
Dear Readers especially hawa wanaume, Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi. Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na...
1 Reactions
13 Replies
737 Views
Susan Metta ni mwanamke wa miaka 40 kutoka nchini Kenya. Miaka miwili iliyopita alipopashwa habari za kuwa alikuwa na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi,badala ya kukumbwa na simanzi huzuni...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
.,.,.,
4 Reactions
42 Replies
2K Views
"Mke mzuri si yule aliye na sura nzuri tu, bali yule anayejenga nyumba kwa hekima, uvumilivu na upendo." Wadau wa Jamiiforums, heshima kwenu! Karibuni kwenye mada muhimu na yenye manufaa kwa kila...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu! Mtaani kuna stori nyingi sana. Sasa leo nimesikia kwa mara nyingine tena kwa wadau wangu wa kitaa kwamba wanadai etiy kufanya tendo la ndoa mida ya asubuhi kuanzia saa 11 hadi 12 kuna...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yani mdada ukimwambia karibu uje Kunitembelea bhasi anajiandaa fresh kwa Kushave kila mahali alafu Wengine anajihami kwa kuvaa Pedy kumbe hata hableed... Sasa kosa Umuache aondoke bila Kumgegeda...
13 Reactions
186 Replies
15K Views
Mwanangu ana miezi 11 sasa alhamdulilah! Anakula vizuri .tu chakula cha usiku anakula around SAA 12 hadi saa moja jioni.Na Mimi nakuwa nimerudi toka mihangaikoni. Ila shida ni kwamba ananyonya...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Habari wana jukwa hili pendwa. Bila shaka hapa ni sehemu sahihi moja wapo yakupunguzia sumu za kifkra zinazowaua wanaume wengi. Twende katika kusudio.. Nilikutana na binti mmoja toka Ruvuma...
10 Reactions
110 Replies
11K Views
Habari wana jukwaa pendwa kabisa wa MMU sasa naenda moja kwa moja kwenye point ya msingi Mimi ni kijana wa miaka ishirini but kimwonekano ni mfupi kiasi lakini kila nikijaribu kumtokea mwanamke...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Juzi kati nilijumuika na watu wa on transit to Marriage.... Moja ya agenda ilikuwa ni wimbi la mapenzi kinyume na maumbile, nini sababu kama vijana, Tumefikaje hapa? Uzoefu wa wanaotumia hii kitu...
22 Reactions
272 Replies
24K Views
Dunia ina mambo hii acheni tu. Kuna jamaa bwana alikuwa ananitongoza .nikawa namuhold kwa sababu kwanza ni muongeaji sana pili nilikuwa Na mtu ambae simsomi Ila kumix watu wawili nikawa nashindwa...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini Wakuu!! Mwanamke lazima utambue jambo hili. Ili kuendana na ulimwengu na maisha halisi kuepuka tabu na msongo ya mawazo hapo badae. Mwanamke huanza ku-expaya siku ya kwanza atoapo bikra...
3 Reactions
78 Replies
6K Views
Hata aibu haoni anakua mkali Balaa nikiomba chakula cha usiku ananiambia kachoka nisimsumbue na siku nikipewa ni kimoja tu ndo naruhusiwa kupiga hataki zaidi ya hapo. Tatizo ni kwamba ananipa...
4 Reactions
94 Replies
8K Views
Habari wakuu, Wadau wajukwaa lipendwalo na wengi naomba tusaidiane hapa maana sijui ni mkosi au nimefungwa na my wife. Hivi wadada siku hizi wameshaolewa wote,maana kila ninayegusa ananiambia ana...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Wanawake wengi wa kiafrica wamefanana sana kitabia na jinsi walivyozoea kukariri vitu! Unapotongoza mwanamke wa kiafrica siku anapokukubali ni siku hiyo hiyo! Kodi yake inaisha! Mama yake analazwa...
6 Reactions
234 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…