Nimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa...
Habari zenu wanajamii,ningependa kuzungumzia kuhusu maneno hayo hapo juu, upendo ni uvumilivu,jamii yetu ya sasa imejaa mambo mengi yanayoikabili jamii kwa ujumla mambo mengi yanaongelewa kuhusu...
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au...
Habari wana JF kwa hakika haditi hii ni ndefu ila usichoke kuisoma ili upate unishauri vizuri.
Miaka takribani saba nilijihusisha na mahusiano na mtoto wabkibongo anaeishi dodoma na mimi zanzibar...
Habari zenu wana jamvini.
Ni muda kitambo tangu niwasilishe mada yangu ya mwisho na kupotea kutokana na majukumu ya maisha. Hivyo nalazimika kuwasilisha jamvini mada hii ili sote tuchangie maoni...
WaDau,
Hili limekuwa likinitatiza hakika katika simulizi juu ya hii habari ya watu KudOMIAna.
Katika maisha ya sasa tukubali tukatae issue ya kuDo against maumbile halisi imeshika hatamu. Now -...
Habari wana JF,
Bikira ni zawadi pekee kwa mume na si vinginevyo na pia inaashiria jinsi gani mwanamke alikuwa anajiheshimu.Ingawa kwa mwanaume ni vigumu kuigundua lakini kama na mume atajitunza...
Habari wana JF kwa hakika haditi hii ni ndefu ila usichoke kuisoma ili upate unishauri vizuri.
Miaka takribani saba nilijihusisha na mahusiano na mtoto wabkibongo anaeishi dodoma na mimi zanzibar...
Jamani mimi ni kijana wa kiume nina mchumba wangu muda mwingi umepita,lkn tabia zake kwa sasa hazinilizishi kwan nahisi amenizoea sana na kuniona wa kawaida.Hivyo nataka kumuacha lakini amekuwa...
Nipo Dar ni mwanaume,muhitimu wa chuo 2011(degrii ya 1 ya bank and finance),umri wangu 28 na ninafanya kazi,napenda kuogelea hasa beach,muziki,kusafiri
Sent from my BlackBerry 9700 using...
About 100 people were witness to a most unusual wedding at the weekend.
The bride was 61 years old and the groom was an eight-year-old boy! Both families were present at the wedding of Sanele...
Mama yake au Mkewe?Fuatilia mabishano haya:
MAMA:Mwanangu lazima aniheshimu mimi.Alinyonya maziwa yangu kwa miaka takribani miwili.
MKEWE:Mimi ni zaidi ya miaka mitano sasa ananyonya maziwa yangu...
Habarini Wakuu!
Naamini humu kuna watu wazima wenye familia zao wababa kwa wamaa! woote ni ruksa kuchangia,
Una kuta mtu umeoa, mwanamke mrembo tena mrembo sana tu, mungu amewajaalia mkapata...
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.
anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili...
Habari wana JF, Nina mpenzi ambaye nampenda sana na tumeanza chini sana akiwa hana hata kitanda,leo hii ana kila kitu amenibadilikia na anasema anakwenda oa kwao coz kachaguliwa mke na wazazi...
nadhani eti inaweza fika kipindi ikawa sasa kama unatafuta mke au mume, unaruhusu watu watume CV kama unapo omba kazi,then CV zinapitiwa na mnaitwa kwenye usaili na atakae kidhi...