Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu,kwenye mahusiano tunakutana na watu wa aina mbalimbali na wakati mwingine unaweza kukutana na mpenzi ambae wakati wote wa mahusiano yenu utajikuta mambo yako yanaenda safi sana yani kila...
2 Reactions
17 Replies
48K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa umri miaka 23, nipo kwenye wakati mgumu kwa sasa kuamua kikwazo hiki kikubwa kilichopo mbele yangu. Kuna msichana mmoja nilimpenda sana pindi tukiwa chuo na kila...
3 Reactions
76 Replies
11K Views
Wadau amani iwe kwenu. Nina dada yangu aliekuwa na mchumba aliepatana nae wakiwa chuo kikuu huko Dar Es Salaam. Baada ya chuo kila mmoja akaenda njia yake kurudi makwao likizo. Bahati nzuri...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? This is a very serious issue wapendwa Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Wanawake ukiona unapewa sana attention na wanaume ujue unanuka hapo haupendwi NANUKUU.. Wahenga walisema "kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza hapo hapo wakatuambia mavi ya kale hayanuki" Enyi...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Utani ni nini? Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake. Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄 Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini...
3 Reactions
17 Replies
755 Views
Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu! Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote...
39 Reactions
167 Replies
5K Views
Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake. Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha. Hakikisha...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada...
23 Reactions
175 Replies
10K Views
Machi 8 kila mwaka, wanawake mnasherehekea siku ya mwanamke duniani. Bahati nzuri ni kwamba asilimia kubwa ya wanawake siku ya tukio..... 1. gharama za vitenge mnavyoshonesha, 2. magari binafsi...
3 Reactions
2 Replies
398 Views
Madume wenzangu majabali, ukweli ni kwamba hawa watoto kike wa kiislamu ni watamu balaa, wazuri, watundu kunako, sasa kesho waanza mfungo itakuwa mwezi wote huu? Turudi kwa kina manka kwa kichaga?
6 Reactions
29 Replies
1K Views
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu, Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea. nakuwashia taa barabarani unanichunia, na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia, leo harusini...
12 Reactions
87 Replies
8K Views
Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
3 Reactions
17 Replies
742 Views
Wakuu huyu bidada simwelewi kabisa tulikutana kurahaika. Sasa nimemkabidhi P2 avimeze tumalize kesi. Naona bidada katia mguu chini hataki kumeza wakati kakidonge kenyewe ni kadogodogo tu tena...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Ni kwa kiasi gani mwanaume afanye ili mwanamke aoene hata inatosha amid dunia ilivyokuwa chungu, haijawahi kutosha kwa mwanamke, anaishi huku akiisemea nafsi yake kuwa kuna "kuna cha ziada zaidi...
2 Reactions
4 Replies
389 Views
Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua...
12 Reactions
83 Replies
6K Views
Ndio ivyo Swali lijibiwe kama lilivyoulizwa Au wewe orgasm yako ni pesa, ukipewa pesa ndio unaipata? Happy Valentines Day to you all
0 Reactions
8 Replies
680 Views
Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…