kijana255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 277
- 260
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa umri miaka 23, nipo kwenye wakati mgumu kwa sasa kuamua kikwazo hiki kikubwa kilichopo mbele yangu. Kuna msichana mmoja nilimpenda sana pindi tukiwa chuo na kila nilipomfuata alinikatalia na kusema yeye ana mpenzi, sikukata tamaa niliendelea msumbua sana tukiwa tumeshamaliza chuo binti alikubali kwa kusema kuwa yule mpenzi wake wameachana.
Basi kwa kuwa nilimpenda nikaingia nae kwenye uhusiano na malengo yangu ni kuja kumuoa siku moja, tumedumu kwenye uhusiano kwa mda wa miezi minne hivi. Binti akaanza badilika na kusema hapaswi kuwa na mimi, hapaswi kuwa na mwanaume nilietulia kama mimi na sipaswi kuwa mume wake.
Kumbana sana akasema kuwa mwanaume wake aliyekuwa na uhusiano nae kipindi tuko chuo alikuwa anafanya nae mapenzi kinyume na maumbile na wamefanya hivyo kwa mda wa miaka miwili ndipo wakaachana, binti anasema hataki mambo ya mahusiano au kama nitaendelea kuwa nae nikubali kufanya nae kinyume na maumbile.
Mi nampenda huyu binti nije kumuoa siku moja ila sasa nipo dilemma kumuacha au kuendelea NAE, NAOMBA USHAURI WENU WADAU.
NATANGULIZA SHUKRANI.