Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani katika pitapita zangu nilikutana na mijadala huu watu wakizungumza ....... Hivi ikitikokea kijana wa kiume ukawa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri au mwanamke ambaye kiumri ni kama...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifatilia Sana maswala ya mahusiano Kwa nyakati tofauti . Leo napenda kugusia hili eneo ambalo watu wengi hawalifahamu kuhusu 'KUTEGEMEA' Binadamu wote kimaisha wanategmeana...
3 Reactions
10 Replies
951 Views
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu? Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka...
6 Reactions
76 Replies
8K Views
MDAU ANAOMBA USHAURI "Mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwenye familia ya watoto wanne kwa wazazi wetu huko Moshi - Kilimanjaro. Nilikuja mjini Dar es Salaam kwa kusaidiwa na kaka zangu wawili hasa...
10 Reactions
69 Replies
9K Views
Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana. Sasa...
10 Reactions
122 Replies
19K Views
Huyu dada toka mwaka 2013 nlikuwa namfukuzia .alinambia tu black and white hawezi nipa penzi lake tuwe marafiki tu.maana ana mwanaume tayari anayempenda sana. Basi nikapiga moyo konde sikupunguza...
12 Reactions
140 Replies
18K Views
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu. Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne. Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo...
6 Reactions
147 Replies
13K Views
Asaalam. Wote tuliopo humu ni wapenzi wakubwa wa mitandao ya kijamii tukianza na huu uliyotuleva yaani JF. Nguvu ya mitandao ya kijamii kututoa katika uhalisia tunaoishi ni kubwa saana. Muda...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Naombeni ushauri, Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu. Nanataka nibadilishe dini kwetu wana...
7 Reactions
486 Replies
39K Views
Nimempata demu mkali sasa aliponawa uso tu uzuri wako wote akauacha kwenye sink
8 Reactions
68 Replies
10K Views
Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania. Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii...
5 Reactions
123 Replies
20K Views
Huwa najiuliza inakuwaje binadamu unafanya ngono na midoli? Unakuta mwanamke ana wapenzi wa kutosha ila kwenye pochi ana livibrato. Mwanzoni nilidhani haya madude wanayatumia masingle girl kama...
6 Reactions
135 Replies
13K Views
Habari? Hivi kitendo hiki cha watu kulana mpaka kunatiana linasababishwa na nini? Maana huku kwetu tumezoea kuona mbwa zikikabiriana na janga hilo, sasa hii ya partners people kunatiana sijui...
9 Reactions
177 Replies
33K Views
Ukweli wanaume wote wanaujua ila huogopa kuusema ili dada na mama zetu waheshimiwe. Licha ya usemi utamaliza mabucha nyama ni ileile....lakini kiuhalisia sio kweli. Jamani nyama ya nundu...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Mwenye mume akionyesha picha ya ndoa. Amenaswa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kukutwa chumbani kwa mume wa mtu na mke wa...
3 Reactions
31 Replies
12K Views
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwanini wadada wa kizanzibari hawana chura asilimia kubwa? Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Mpenzi wako kuwa na mtu mwingine kimapenzi,au kuwa na hisia kwa mtu mwingine...? inasemekana wanaume Enzi hizooo,walikuwa wanaumia wake zao wakifanya mapenzi na mtu mwingine sababu ya kutokua na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba...
25 Reactions
229 Replies
11K Views
‘’usiwekeze hisia zako kwa mwanamke Jambo la kwanza …kichwa cha habari hakisemi usimpende mwanamke . KInasema usiwekeze hisia zako kwa mwanamke . Njia pekee ambayo unaweza kutapeliwa...
13 Reactions
51 Replies
3K Views
Kabla haujasoma, kama unajijua una Low IQ, pita tu kaendelee kuangalia picha za ngono, maana hii inahitaji watu wenye high IQ pekee kuona na kuelewa ninachozungumza. Maana najua comment yako...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…