Hivi tatizo la 'kunatana' wakati wa kufanya mapenzi linasababishwa na nini?

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,202
28,709
Habari?

Hivi kitendo hiki cha watu kulana mpaka kunatiana linasababishwa na nini? Maana huku kwetu tumezoea kuona mbwa zikikabiriana na janga hilo, sasa hii ya partners people kunatiana sijui inakaaje wapendwa.

Nadhani nanyi si wageni na mambo haya kuyasikia, tena cha kushangaza huwatokea sana cheaters katika gest mbalimbali, mke mtu au mume mtu, yaan wanakuwa full kidogodogo.

Nini tatizo?
 
Mimi nahisi labda kuna ushirikina unahusika! Ila kwa hali ya kawaida haiwezekani jombaaaaa!

Ila zamani wazazi walitumia kama mbinu ya kuwaogopesha watoto wasishiriki ngono mapema!
Ukiwaza kutongoza tu linakuja wazo la kunatana basi unaogopa kweli......

Au walikuwa wanasema papuchi za aliyekuzidi umri huwa zinaunguza gegedo
 
Hayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
 
Back
Top Bottom