Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari, Ni hivi, mdada ana mwanaume wake lakini kuna muda hamuelewi kwenye swala la mawasiliano, ni kweli kuna muda anakua busy na kazi na pia mtandao unasumbua kwahiyo mkaka huwa ana mtext mdada...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu kama nilivyo wajuza kuwa nimehamishiwa Karagwe kikazi, nimepitia Dodoma kukamilisha kazi fulani kabla sijaenda kuripoti Karagwe. Leo nimepata hamu ya kutembeza bakora nikapewa chimbo moja...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanajamvi jamvini, Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula. Sasa nikiwa na mademu zangu wa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimewaza sana, Yaani mwanamke anapiga ngumi kama bondia kwa mwanaume ambaye hajamgusa. Kama roho wa Mungu hayupo karibu nawe, nakwambia kuna watu wanaweza gawana majengo.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
guest-1791802738
Habari ndugu zangu.... Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga. Maisha yangu ni ya kawaida, nafanya...
7 Reactions
79 Replies
10K Views
Habarini za asubuhi wana MMU poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia kiujumla. Kijana wenu nimekuja hapa mbele yenu sijui nahitajI ushauri ama nahitaj nini ila ntafurahi kama ntarejesha...
13 Reactions
148 Replies
8K Views
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano...
12 Reactions
148 Replies
11K Views
Zamani ilikuwa mtu akiwa kwenye ndoa unaona enhee kweli jamaa anafaidi. Kuna vitu ulikuwa ili uvipate aidha kwa mwanamke au mwanaume lazima uingie kwenye ndoa. Sikuhizi mambo yamekuwa vice versa...
21 Reactions
213 Replies
11K Views
SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio...
10 Reactions
49 Replies
13K Views
Looking for a kind, authentic soul to share laughs, deep talks, and life’s little moments—hoping for a friendship that could grow into something real. Age 20 to 30's DMs open!” Let me know if...
2 Reactions
4 Replies
358 Views
Wakuu amani iwe nanyi, last week kuna kadada flan iv kapo mkoa wangu, niwe muwazi nilikaona fb tu nikakachokoza tukapeana namba, tukachat mpaka kufikia stage ya kukulana (mahusiano) Sku ya...
6 Reactions
47 Replies
8K Views
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Mapenzi siku zote tunasema ni two ways directions not one way directions na ukiona upo katika penzi la one way directions ujue kuna tatizo Kiasi cha kwamba wewe ndo unajitahidi kumuonesha mwenzio...
16 Reactions
98 Replies
16K Views
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto). 2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea. 3.Anajua thamani ya...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida sana sana kwenye jamii zetu sio tu Afrika hata ulaya unakuta wanawake wanapigana vikumbo kisa Mwanaume. Either ni Mwanaume 1. Mwenye pesa 2. Handsome 3. Ana ushawishi...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Mimi sio mtu ninaependa hovyo. Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia. Sasa huyu single mama anashida...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
18 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20...
1 Reactions
10 Replies
869 Views
2024. Mwezi wa nne mida ya Saa 2:30. Nilikutana na Bint wa Miaka 27, nilitokea kumpenda sana, kwa kua nimempenda nikataka kua nae katika mahusiano, Daa Dem ana Watoto 3. Msela nikazama hivyo...
59 Reactions
205 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…