Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

salam zenu wana mmu! naomba kwanza nimuinulie kidole gumba mkuu Zinduna kwa kauli yake...'kuwa mwanamke ni gharama'! nili-appreciate hii kauli baada ya kukumbana na haya mambo mtandaoni, kwa...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Wana JF, Habari za asubuhi. Mimi nimeoana na mke wangu na sasa tuna zaidi ya miaka 22 ktk ndoa. Wakati namuoa kipato changu kilikuwa kizuri sana, wakati yeye alikuwa mfanyakazi wa kada ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni binti,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana na mimi kufahamika kwao,,tatizo lilikuwa pindi nipo nae huwa hapendi niguse sim yake lakini sim yangu kugusa ni lazima,,siku nyingine...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Natumaini bado mko salama asubuh hii.. Nianze na hiki kisa, Mpenzi wangu kabadilika kabisa ktk suala zima la mahaba,vionjo na hamhamsha lake. Hapo awali alikua na hisia nzito na kali juu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Inakera pale mtu anapokuja na shida anakuomba hela with a promice ntakupa after three days afu anauchuna hasemi kitu after those days anakua anakupiga fix tu. Mbaya zaidi anakuzungusha mpaka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
ENZI ZA MZANAKI 1.enzi za analog wazazi walikuwa wasemaji wa mwisho kuhusu nani uoe ama nani akuoe. -walichunguza tabia wao -walipendekeza mke wa kuoa -dini ilizingatiwa,kama unataka kubadili...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
kansa ya mdomo huletwa kutokana na sababu hizi, kutafuna tumbuku, kuvuta sigara, kuimba(mwimbaji), ulevi wa pombe kali, hakuna sehemu yoyote palipoandikwa kuwa kansa ya mdomo inatokana na "ULAMBO"...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Ni wapenzi wachache wanao weza kuachana kwa amani. Wengi huachana kwa shari na mara nyingi huachana kwa kubadilishana maneno machafu. Ifuatayo ni TOP 7 ya maneno machafu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jf..naomba kuuliza...mwanamke hua anajiskia nyege wakati wa period au baada ya period?..Na hizo nyege zinakuaje?..
1 Reactions
67 Replies
15K Views
Mavazi yasioendana na tukio: Unakuta mwanaume memualika mrembo kwenda ku dine mahali fulani anakuja na mavazi kama vile anakwenda kununua koni kwa Bakhresa Kariakoo. Ni vyema mwanamke kama...
11 Reactions
171 Replies
30K Views
Huwa sichangii jukwaa hili ila nadhani habari hii is worth sharing.... Watafiti huko Marekani katika Chuo Kikuu cha Emory University-Georgia wamebaini katika uchunguzi wao kuwa wanaume wenye...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Imetajwa mara nyingi kuwa mwanamke akipata mimba upande mwingine ni karaha. Wanaume wengi wanatoa ushuhuda wa shubiri wanayoipata wakati wake zao wanapokuwa wajawazito kuliko wakiwa wajawepesi...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Jamani kuna majanga hapa jijini. Baba mkwe pamoja na familia yake yote amegomea harusi ya mtoto wake baada ya kufika kanisani hapa na kukuta ndoa imeshafungwa bila ya wao kuwepo. Sakata hili...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Samahani, picha zinatisha. Jealous Girlfriend Allegedly Bathes Boyfriend’s Private Area With Acid (PHOTO) – Viewer Discretion Advised) in News A girl suspected her...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
UREMBO NI KAMA MAUA. ukiwa ndo kwanza msichana MAUA YAKO YAMECHANUA. hapa sura yako ni baby face,mwili hauhitaji makeup kukutambulisha kuwa u mzuri,nguo zote zinakukaa na kukupendeza,macho yako...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
habarin wakuu...ni majanga waheshmiw,.nilktana na mschana nikiwa chuon..kimuonekano alkuw poa sana na alikuw ni kiongoz wa dini pale chuon,kiukwel kila mw'ume alikuwa anamtaman,ktk ule ushndan...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
...What kind of questions you asked yourself in such scenario? ...What measures did you take? ..How do you feel when you come across the reject-er? (Assuming your current relationship is so...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Wana MMU kwa wale wenye uzoefu naomba mniambie vipi watoto wa kichaga wanaweza mambo?nataka nioe huku kuna mtoto wa kichaga nshampata ndo nataka nijue
0 Reactions
27 Replies
6K Views
1.Usije jaribu, kumpiga mwanamke au kumtukana. itakushushia heshima sana na aiwezi kukufanya wewe uwe jasiri. Ki ukweli itakufanya uonekane jinsi gani ulivyo dhaifu. 2. Si vyema kumwangalia...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…