Mara nyingi katika mahusiano wake zetu huwa hawako tayari kuonyesha hisia zao. Kwamba wanatuhitaji.
Yani mnaweza mkakaa siku nzima home, mmekula, mmeoga, mnaenda bed. Bado unakuta mke hana nyege...
Hello jamiiforum,
Leo ni siku nzuri ya jumatatu ikiwa ni siku ya mwisho wa mwezi wa tatu , ama kweli sikukuu imekuja vizuri sidhani kama watu wamekopa kivile ili kufanikisha sikukuu hii muhimu...
Mwanamke ambae anakazi ya kuhongo mwanaume akijua kabisa hapendwi na hajawai kula ata mia ya mwanaume huyo kiufupi mwanaume kashamuonesha kuwa hamtaki ila yeye ndio kamganda na kumuonga juu
Huyu...
Habari wana JamiiForums,
Napenda kujua kama kuna uwezekano wakwenda mahakamani kudai haki endapo umelea ujauzito mpaka kujifungua kwa mtoto ukiamini ni wako mpaka mtoto anakuwa mkubwa unambiwa...
Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la...
"Hauwezi kuwa na mke mmoja, kwani ni mama yako huyo?"
Wakuu huu ni msimamo thabiti wa mzee wetu kipenzi, Mzee Magauni Monwa (72) mkazi wa kijiji cha ntatumbila huko kanda ya ziwa.
Mwamba ana...
Za 'masiku' familia yangu ya JF!
Kuna jambo linatafakarisha na wakati mwingine kukasirisha sana. At age of 15-24(peak), wasichana wengi hawapendi kushauriwa.
Ukitaka uwe adui yake, basi wewe...
Kwema team MMU?
Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako?
Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu...
Juzi kati ndo nimegundua maana mwanzo alificha. Kwa mwili anaonekana sio mkubwa sana japo siku zinavyoenda namuona michirizi ya uzee inaongezeka idadi usoni kwake.
Hapa nafanyaje wakuu? nafikiria...
Kwema jamani?
Sijui mimi naona nina matatizo au vipi kuna mwanamke nilikua na kimahusiano nikagundua ana mtoto akaniambia ni kweli ana mtoto mmoja heee, kuja kuchunguza nikakuta ana watoto...
Habari za wakati huu!
Mimi Leo Nina swali kwenu ndg zangu hivi kati ya watu walio kwenye ndoa tayari yaani nazungumzia ME na ambao hawajaoa ni wapi kati Yao wana maendeleoa zaidi ya wenzake...
Mimi kwanza sio mtu hata wa hayo mambo. Ila mara ya mwisho nilisahau mkufu wangu kwake na nikamwambia akaniambia ameuhifadhi. Nimerudi nikamuuliza kaniambia hauonekani itakuwa dada wa usafi...
Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo?
Ni sahihi kweli kufanya hivyo?
Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana...
Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala...
Habari wanazengo;
Hapo nyuma nilishawahi leta Uzi na kuuelezea namna nilivyopata Binti wa kiganda amabaye anamahaba mazito Tanzania hamna.
Mimi kama single father nikamwambia aende kwao aseme na...
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote
Mwaka 2022 ulitawaliwa na migogoro ya hapa na pale na mke wangu.
Kiuhalisia sikai nae pamoja na hii ni kutokana na masuala ya kikazi.
Tumefunga ndoa na tuna...
Wakuu Heri ya Eid El fitr Kwa waislamu na kwaresima njema Kwa wakristo wenzangu. Niko mkoani Mbeya nimekutana na Binti Muiraki (Mwiraq) kutoka Arusha kanisani amenizidi Miaka miwili Lakini ni wife...