Kichwa cha habari chajieleza.
Tafiti zangu za muda mrefu zimeonyesha kuwa uaminifu kwa sasa ni kitu adimu sana kwa wana ndoa.
Hivyo basi mm Malafyale muda wa kuoa umefika,natafuta mwananke aliye...
Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya...
dereva funga brake tushafika kwenye party
eeeh bwana eh kumbe bonge la party
cheki mademu kibao utadhani kitchen party
duh! cheki lile anti lililovaa skintight
ee bwana eh! liko safi
sio mchezo...
Licha ya kuzaa nae na kupeana ahadi kem kem juu ya maisha yetu ya ndoa hapo baadae hauwezi amini alicho kitenda naweza sema ameharibu mwenendo wa afya ya akili yangu
Sitaki kuamini nilifanya...
Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo...
Kila tarehe 17 Aprili huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Popo (International Bat Day).
Lakini wanyama hawa huchukuliwa vibaya, huogopwa na mara nyingi kuchukiwa na kudhaniwa kuwa ni viumbe...
Ikiwa umejaribu mahusiano na mara kadhaa umeshindwa ku move on (yaani kuanzisha familia maana ndo lengo kuu) ebu jipange mwaka huu tuliza kichwa mwakani utafute mwanamke yufuatayo.
1. Nenda...
Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.
Baba...
Haijalishi una mapenzi kiasi gani kwa mwenza mke wako, atakapokuja mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa fedha anaweza kumchukua, thibitisha kupitia Video hii
Unaweza kumpenda sana mke wako lakini...
Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote...
Unakutana na mtu maisha kaya patia akiwa na late 30's
Zaidi ya kusoma Hadi sa Tisa alfajiri Kisha analala masaa matatu manne na kwenda darasani Tena akiwa shule na hata chuo hajui kitu.
Hajui...
Kuelekea sikukuu Wakati sisi vijana wastaarabu tukihangaika kuhamasisha vijana kukataa ndoa .....ndoa ni utapeli ....lakin pia Kuna vijana wanahangaika kuhonga plus kuwanunulia viwalo vikali...
Mpenzi wangu, ananileteaga stori za kuwachukia wapigania haki wa No Reforms No Election,
Daaah, anakera mnoo!
Sometimes ananikuta nimetulia, nasikiliza clips za No Reforms No Election, anaanza...
Hookup culture ni utamaduni uliokuwa kwa kasi kwenye jamii zetu ambapo watu wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la ngono bila kuwa na nia wala commitment ya uhusiano wa kudumu au...
Uzinzi
Ni tendo la kufanya mapenzi na mtu ambaye si mkeo au mume wako, na mara nyingi linachukuliwa kama kukiuka ahadi za ndoa au maadili ya kijamii...
NDOA ni yale makubaliano ya mwanamke na...
Habarini
Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama...
Namshukuru Mungu sana baada ya kutekelezwa na mimba na Ex wangu nakumbuka hadi nilitamani kuitoa (Mungu anisamehe sana haya mawazo sijui yalitokea wapi)
Nililea mimba mwenyewe hadi nikajifungua...
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu...
Humu jf wanaume nao ni wapweke kuna makundi mengi ya wanaume wapweke.
1. Wanandoa
Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke...