Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani kwenye huu huu ulimwengu ambao social media zinawaharibu wazazi ,. Na wazazi nao wanawaharibu watoto lakini kuna ambao hawajashindwa kabisa suala la malezi,. Huwa nafatiliaga videos za...
22 Reactions
130 Replies
5K Views
nyimbo ya jux aliyeitoa kwa ajili harusi yake yashika namba mbili na wimbo mwingine namba tatu kwenye itunes nigeria,, nigeria ni nchi yenye idadi ya watu milioni 230, kwa nyimbo ya jux kutrend...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasaalam ! Tupo kwenye kipindi cha majonzi tunachopaswa ni kumshukuru mungu kwa kila jamboo . Nije kwenye mada najiuliza maswali mengi sipati majibu . Kwanini mwanaume akimalizaa tu kufanya...
24 Reactions
1K Replies
120K Views
Nimeicopy kwa Hshem Humud from facebook Ukioa owa for your own Risk Wengi tunakimbia kuwaoa hawa sababu huwa na mawasiliano na wanaume waliowazalisha, ni ngumu kumtenganisha Single Mother na...
11 Reactions
97 Replies
9K Views
Eeh, Kuna anayebisha? Baada ya kuaona matukio mengi ya mauwaji, wanawake tunachinjwa kila siku nimeona niuseme ukweli huu.. wanawake wengi tunaingia kwenye mapenzi na tusiowapenda sababu ya...
50 Reactions
231 Replies
25K Views
Wakuu, Nusratt nakupenda sana,umeuteka moyo wangu,siwezi fanya chochote bila uwepo wako Penzi lako kwangu ni la kipekee mno,sili,siogi silali kisa wewe Upole,upendo na uvumilivu wako kwangu ni...
2 Reactions
9 Replies
619 Views
Jamani mmeamkaje Shoga yangu mmoja hakuwa hewani kwa siku saba hivi tukashtuka ikabidi twende kwao kumuulizia kama kwema maana si kawaida kupotea hewani vile, kufika tukamkuta mzima ila...
7 Reactions
138 Replies
10K Views
Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
45 Reactions
304 Replies
17K Views
Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea...
19 Reactions
73 Replies
3K Views
Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa. Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi...
4 Reactions
2 Replies
599 Views
Achaneni na upotoshaji mwingi sana mitandaoni na vijiweni kuhusu shida ya tatizo la nguvu za kijinsia. Suluhisho la uhakika na la kipekee sana kuponya na kumaliza kabisa tatizo lako la nguvu za...
3 Reactions
11 Replies
678 Views
Uchumba sugu ni uchumba unaokaa kipindi kirefu (zaidi ya mwaka) tangu kuchumbiana hadi kufunga ndoa kamili (wedding) na kuoana (mariage). Uchumba sugu sio kitu kizuri kwasababu ni chanzo...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza...
45 Reactions
164 Replies
15K Views
Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali 😁😂😂 Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa kuonyesha mahaba unaamua kumtoa ‘out’ mpenzi au mchumba wako kumpeleka sehemu mkapate vinywaji na msosi wa tofauti kidogo na ule mliozoea, ili pia mpate fursa ya kupiga soga za tofauti na zile...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Kutokana na vijana wengi kukosa nguvu za kiume, story nyingi zimezuka kwenye vijiwe vya kahawa kuhusu mbinu mbalimbali za kumzalisha mwanamke, 1. Style ya kifo cha mende, hii imepata alama nyingi...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Ukioa mwanamke , mdogo kiumri ndoa yako inadumu sana . study Case , Jay Z &Beyonce, Lulu &Majizzo ,Juma Jux &Prisca. Vijana chukueni hii mapema achaneni na wanawake wazee Mwanamke ukiwa umempita...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu, Nimeoa mwezi uliopita,siku za mwanzo zilienda vizuri,lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo mambo yanavyobadilika. Mke wangu halidhiki kabisa,bao la kwanza ambao wanasema ni la haraka sana...
13 Reactions
74 Replies
3K Views
Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili. Wewe huyo bahili...
0 Reactions
2 Replies
366 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…