Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tulikuwa tunapiga story jana na marafiki zangu wao ni watu wazima kuliko mimi kiasi. Walikuwa wanadiscuss watu waliokuwa vichwa enzi hizo. Wa kwanza alikuwa kichwa sec hadi chuo huko nje alikuwa...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Imekua ni jambo la kawaida ukianza uhusiano na mwanamke siku hizi utasikia.... "Nyie wanaume ni waongo sana" "Nimesha umizwa sana hata sitaki tena kupenda" "Nyie wanaume ni waongo sana...
9 Reactions
101 Replies
8K Views
Nina rafiki yangu amenipa aibu ya mwaka. Tulikuwa tumetoka mizungukoni, tukashuka kituoni tukiwa na kauvivu ka kutembea. Tukakubaliana kuchukua bodaboda, tukaona tupande tu moja kwani vibody vyetu...
22 Reactions
187 Replies
35K Views
Helo hapa jukwaani, hope mpo poa Niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche Sana na namfahamu coz nilikuwa...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Usikurupuke kuishi na demu ambaye hana sifa ya kuwa mwanamke hakika utajigharimu sana. Demu kumfanya mwanamke ni kazi sana ila mwanamke kumfanya mke ni rahisi sana nimemaliza unaweza ongeza...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari wakuu, Kuna jamaa hapa mtaani alikua akifanya kazi ya u driver kwa jamaa ambae anamiliki malori ya kukusanya nafaka sehemu mbali mbali mikoani. Huyu tajiri ni mtu anaeheshimika sana...
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Safari ya Rwanda… Najua wengi mnatarajia kusoma hadithi nzuri na tamu juu ya wadada warembo wa Kinyarwanda…wabantu haswa Madame B weka chini...wenye maumbo ya nyigu…sura...
21 Reactions
65 Replies
7K Views
Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe. Naomba mnisamehe maana nawajuwa vizuri.Mkipaniki mnavyokuwa mbogo so sitarajii mikikikiki kutoka...
27 Reactions
329 Replies
57K Views
Hili jambo kanisimulia jamaa yangu ni fundi wangu pale gari langu 5th hand linapopata Matatizo na of course kila mara maana si second hand tena ni fifth hand. Jamaa ni mwenyeji wa kisarawe...
8 Reactions
57 Replies
8K Views
Juzi kuna mdada kanionjesha utamu. Cha ajabu wakati nakaribia kupiga bao, kanambia yeye atasema no reforms nami niwe najibu no election. Bao tamu sana Jaribuni hii kitu ma gen-z
1 Reactions
5 Replies
453 Views
.
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe? Hapa nimeandaa baadhi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Kumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana. Maana vijana wanaloweka...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Sisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!". kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi...
23 Reactions
93 Replies
3K Views
Niliwahi kuja na uzi kuomba msaada wa dawa ya muwasho mkali mgongoni...
1 Reactions
6 Replies
546 Views
Hizi dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume zinazotangazwa ni za kweli wakuu? Kuna shida huku zinahitajika Na je zina madhara makubwa?
0 Reactions
35 Replies
7K Views
kudate na demu mswahili ni sawa na kuchaji simu ya Samsung kwa kutumia chaja ya Tecno yaani ata ijae full life sparm yake huwa ni ndogo sana, mara vuup chaji imeisha, Jana nilipata demu mmoja...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Lucy Brenda Susan Catherine Grace Glory Janet Nawasilisha.
9 Reactions
272 Replies
43K Views
Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza...
40 Reactions
70 Replies
4K Views
Wakuu habari za mda.. Kutokana na mseto wa uzi huu nimeshindwa niuweke jukwaa la AFYA au MMU ila naamini wataalamu Wa pande zote mbili watauona na kunipa ushauri/ msaada Wa mawazo. Twende...
11 Reactions
212 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…