Huyu mwanamke nilimtongoza miaka 30 iliyopita hakunipa. Nilikuwa namtaka mno, nilifanya kila njia hakunikubali, lakini hakuwa ananipa majibu mabaya, ila aliniambia hapana.
Basi akaolewa, harusi...
1. MAANA YAKE:
Hopelessness ni hali ya kiakili na kihisia ambapo mtu huamini hakuna njia ya kutoka kwenye matatizo yake, haoni mustakabali mzuri wa maisha, na hujihisi kama hana msaada wowote. Ni...
SHIKAMOO.
Penzi langu na Muha lilianza siku aliyoninasua mikononi mwa polisi.
Kama kawaida ya penzi jipya na sisi penzi letu lilianza kwa moto lkn pia kama mjuavyo hakuna safari isiyo na milima...
Waungana naandikia uzi huu nikiwa na uchungu usio na kifani.
Leo mida jioni saa 12 nikasema nitembelee pande za lubumbashi hapa Mbezi luis angalau nipunguze uzito maana nina muda sijagusa...
Habari JF,
Mimi ni binti nilikua na mpenzi wangu tuliyedumu kwa miaka miwili, ingawa hakua officially ila alijulikana kwetu. Kuna kipindi tulikwazana mwezi mzima baadae tukaelewana.
Sasa hivi...
mwenye masikio na asikie
1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele
2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha
3 - Usije kupendana na...
Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana
Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna...
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,
Je huyo mwanamke utaendelea kuwa...
Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku...
Vijana wa sasa hawajui kabisa sanaa ya kusex.Dosari zao kubwa ni hizi:
1.Hawajui namna ya kumuandaa mwanamke.Mwanamke yafaa kuandaliwa mapema sana yaani toka asubuhi,mchana na jioni kwa tendo...
VICHAFUZI VYA NYOTA.
Jana nimefundisha kwa kirefu sana kuhusiana na nyota kwamba, mtu ni nyota na nyota ni mtu.
Kwa lugha nyingine nyepesi zaidi, Nyota ni mwili wa kiroho unaofunika mwili wa...
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.
Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.
Nina mke ambaye muda wote kisirani.
Ananuna nuna muda wote.
Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka...
Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza...
Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko
Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo...
Ehh dada wewe!!!!
Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana.
Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend...
Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa...
Wakuu!
Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi
"Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa...
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna...