Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio...
12 Reactions
140 Replies
8K Views
Hii ilikuwa 2015 Kipindi hicho nikiwa Kijana Masikini tu. Picha linaanza nikiwa na washkaji katika pool table majira ya usiku. hapo mtaa umechangamka sio kitoto unaambiwa, katika stori wana...
24 Reactions
471 Replies
32K Views
Wakuu, Ushawahi kujiuliza hata siku moja kuwa mpenzi wako(iwe mmeoana,mchepuko au mpango wa kando) anakupenda kweli au anakutumia kwa maslahi binafsi akiyapata anakimbia? Mfano,kuna wanaume...
2 Reactions
7 Replies
443 Views
Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia. Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye...
27 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakuu, Mtakubaliana nami kuwa kuna baadhi ya wanawake huzaliwa na hii changamoto,bikra inakuwa si bikra,unaweza kujaribu kuingiza uume mara mia na usifanikiwe, wanawake hawa huwa wachangamfu...
0 Reactions
4 Replies
403 Views
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana JF. Vijana wengi miaka hii wamekuwa wakipagawa/winda/windwa/jipitishapitisha/tamani sana mijimama lakini pia wake za watu. Let talk about Mijimama first. ✓ Wakuu Jimama halina jipya...
0 Reactions
7 Replies
677 Views
Ndugu zangu salaam. Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala...
1 Reactions
4 Replies
606 Views
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo...
12 Reactions
76 Replies
3K Views
👉 Staili nzuri zaidi kwa wapenzi wengi ni “mwanamke juu (woman on top)”. Sababu: Mwanamke anadhibiti kasi na kina, hivyo hupunguza maumivu na kuongeza raha. Humpa mwanamke nafasi kubwa ya...
3 Reactions
3 Replies
399 Views
Mabinti wa chuo nyote sikilizeni hapa: Kuna tabia ya baadhi ya mabinti kututoa kwenye reli malijendi kwa kutumia salam ya shikamoo, tuwapo na mikakati ya kupiga tongozo. Yaani Lijendi umemwona...
15 Reactions
56 Replies
2K Views
kuna mwingine nae tena alinitumia mfano wa huo hapo ,,nikamtukana alinitukana hiyo akaniambia nimtumie majina yangu matatu kama hakuna uchawi maana nilimuambia kuwa hakuna uchawi ,,nikamuambia...
20 Reactions
107 Replies
14K Views
Nashauri wanaokaa single tuanze kuwanyanyapaa hadi wawe double.. kuwa single sio kitu kizuri hata kidogo, leo asubuh nipo dukani kwa shirima kuna mwamba kavaa Pensi nyepesi kaja dukani mkuyenge...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha...
51 Reactions
96 Replies
8K Views
Arusha ni makutano makuu ya Warangi, Wanyaturu, Wanyiramba, Wamangati na Wairaqw (Wambulu) kutokea mikoa niliyoweka kwenye Heading. Effortless beauty, natural beauty, Yani ni wazuri bila makeups...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna wakati mke wa mtu kusaliti ilikuwa a one time, 2 time.. mistake ila sasa hivi wake za watu wanashindana kudanga na wakina "zakia mitikisiko" maana wanakuwa committed na mikopo au miadi...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani. Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio...
26 Reactions
122 Replies
8K Views
Ijumaa Kareem! Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake. Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke; 1. Uhuru wa...
25 Reactions
179 Replies
11K Views
Kutwa nikisema hapa kuwa Vijana wa leo acheni Kuwadharau Wazee na kuendekeza Uzungu kwani Uzee ni Dawa nami pia mnaniona nimepitwa na wakati. Haya sasa hebu Kuleni Chuma kikali hiki!!!
2 Reactions
3 Replies
654 Views
Nimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo...
30 Reactions
256 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…