Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanaumeee! Kuweni waagalifu na mifuko yenu! Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja! Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni...
23 Reactions
168 Replies
5K Views
"Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Watoto wa nje ya ndoa au wa michepuko, hawana tija katika maendeleo yako hasa pale utakapowahitaji; wao wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa hujikita kwa mama zao. Wakiwa wadogo wao na mama zao...
3 Reactions
10 Replies
641 Views
Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
📖 Mathayo 5:27–28 "Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake." Swali langu, kwani wanawake wao...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
  • Redirect
4 Reactions
– Replies
– Views
Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie. Amekaa mwaka ukaisha...
65 Reactions
223 Replies
10K Views
Wakuu Nimekuwa kama mwathirika,yaani bao la kwanza namwaga shahawa fresh,ikifika round ya pili ndipo kasheshe hutokea, Nimekuwa nikirekodi muda nitakaotumia ktk round ya pili mpaka pale mpenzi...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Wana jamii nahisi kuzimia jamani nitieni moyo sielwi nimekuta video kwenye simu yake 😭😭
20 Reactions
336 Replies
12K Views
Wakuu Kuna watu wamekuwa wakichanganya mafaili kuhusu jinsia yangu,mimi ni me na nimeoa with watoto nane, kuhusu jina langu ni kwamba kuna siku wife alichukua simu yangu kisha akabadili jina...
3 Reactions
17 Replies
902 Views
Great Thinkers, Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu. Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito...
90 Reactions
215 Replies
12K Views
Mwanamke akiomba omba hela wengi wetu huwa hatupendi kupigwa vizinga visivyo na idadi Mwanamke akiamua kujitafutia na aanze kukuzidi hilo nalo tatizo,
8 Reactions
16 Replies
512 Views
Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana...
1 Reactions
7 Replies
605 Views
Hakuna hisia kali zinazoathili Hadi MOYO kama mwanaume unapotamani kuisimamia kiuchumi familia yako lakini mfukoni huna hata sumni. Wakati ambapo Kila unachogusa kinakukataa na kukufanyia usaliti...
26 Reactions
101 Replies
3K Views
Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔 Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa...
32 Reactions
179 Replies
4K Views
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu. Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga. Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
1. Popo kanyea Mbingu 2. Mguu Pwani Mguu Bara 3. Nisusie 4. Anguka Juu Chuma Natembeza 5. Zanzibar Kunaingilika 6. Msumeno 7. Kufa Kunoga Naomba Kuwasilisha.
11 Reactions
103 Replies
6K Views
Wakuuuuuu. Dogo anavuta chuma toka iringa kwa wabena. Barua inatakiwa kuwa na nini? Afanye nini?
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…