Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I never thought I could be this strong..[emoji19] I never felt so hurt like this before...[emoji20] I never thought our love would ended up like this...[emoji29] Now you got your new...
13 Reactions
82 Replies
5K Views
Nahisi swali langu halijaeleweka vizuri na kwahiyo naomba nifafanunue. Ni kawaida hivi sasa kukuta wapenzi ambao uhusiano wao ulianzia mitandaoni. Kutokana na ukweli huo, ndipo hapa yanakuja...
2 Reactions
103 Replies
8K Views
Habari wana jf napenda kusaidiwa katika hili hivi kuoa ni umri au pesa maana unakuta mtu anaumri mkubwa alafu hajaoa ukimuuliza anasema hana pesa na pia unakuta kijana mdogo mwenye range ya umri...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ashakum si matusi " mwanaume mpumbavuh ni hasara kwa Taifa lake" siku zinavyozidi kwenda ndivyo tunavyozidi kutostaajabu hata ya firauni achana na ya musa. Wanaume wa sasa hivi tumepoteza kabisa...
10 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari zenu wana Jf. Ninae rafiki, ambaye nilimuahidi kuwa ifikapo mwaka 2014 nitarudi nyumbani ili tuweze kupanga mipango ya maisha and possibly get ................. Unfortunately it does not...
1 Reactions
128 Replies
8K Views
Ni Yule mchapakazi kupindukia mwenye sifa kemkem hadi wadau wakanitafuta PM wanataka wamuoe. Nilipokuwa nafanyia uchunguzi usio rasmi mtoto nikagundua anakidondoa ambacho kwa mujibu wa gadgets...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni hivyo tu navyoweza kusema Invest in your sex life ~ Wekeza kwenye maisha yako ya mahaba kama nimekosea kutafsiri mtanisahihisha waswahili wenzangu Maisha ya ndoa ... naongelea ndoa zetu...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Nahitaji mwanamke wa kumuoa, Sifa kuu awe Wife material, mwalimu wa shule ya msingi Sifa ndogo ndogo: 1. Mweupe (natural) 2. Awe tayari kuwa mkristo 3. Awe chini ya miaka 26 Mimi ni mwanafunzi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
NAwasalim wandugu. Mimi kwa sasa niko musoma natafuta marafiki walio musoma tufahamiane. Mimi ni mwanaume umri miaka 25 ni mwajiriwa serikalini. Nitafute pm au kwa e mail jerryrobson55@gmail.com
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Watoto hawawezi kuwa tofauti sana na wazazi wao yaani baba na mama. Mchongoma hauwezi kuzaa machungwa na mtoto wa simba si wa chura. Kuna wimbo unauliza mdudu ndani koko la embe kaingiaje? Ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanaume wengi hukataa na kubisha sana pale wanapolaumiwa na wake zao kuwa wamebadilika, pale ambapo kuna baadhi ya tabia wake zao wanahisi hazikuwa hivyo na sasa wameanza tabia fulani za tofauti...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina mchumba wakisukuma lakini sijua utaratibu wa kutoa mahari unakuwaje kwa maana sielewi tamaduni za kabila hili, msaada wenu wapendwa.
1 Reactions
67 Replies
13K Views
Habari za mda huu ndugu zangu wa jf... Naandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa wanaume wenzangu ambao wanafanya maovu ya kuwaendea kinyume na maumbile dada zetu kisa kuwanunulia pombe...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Wanawake walio katika umri wa kati wanaongoza kwa kuvimba macho kutokana na kupaka rangi machoni na kubandika kope bandia. Kwa hiyo wanavimba Mimacho kama Zootopia?....kweli nimeamini Hakuna Make...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
...aisee imani ina nguvu sana, haijarishi ni ya kweli au ya uongo. Kuna bidada mrembo ana watoto wawili na mumewe fundi boda boda. Sasa alivutwa na jirani kwenda kuabudu kwa haya makanisa...
28 Reactions
98 Replies
13K Views
Hello guys what bout your weekend? i hope ts pretty fine daah i have a girlfriend we hang on for two years now truly i got loved real love for her since we met she is my best friend, real i...
4 Reactions
154 Replies
13K Views
Hivi mie huwa najiuluza hawa ambayo hutongoza dem au boi mtaana mmoja huwa wanaishi kwa raha kweli
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mke na mume walikua hawalali chumba kimoja. Mke alikua ana lala na watoto hadi watimize miaka 3 ndio anawatimua. Chumba cha Mzee(mume) kilikua ni maalum, mtoto haruhusiwi kulala wala kukaa humo...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwa hili,natafta mchumba na baadaye aje kuwa mam wa watot Wang km mung akipenda, SIFA 1.umri kuanzia mwaka 24 mpaka 26 2.elimu form 4 mpaka university na awe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, I have been dating in my life ila sjawahi kupata binti anapenda mambo kama huyu dada Tulianza wiki kadhaa nyuma hapa na alinifanya nitoroke job siku ya kwanza. Sasa naona huyu dada baada...
13 Reactions
151 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…