Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .
Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k
Nb...
Hii changamoto imekuwa ikijitokeza sana. Kila unapotembea na ndomu mfukoni kwa ajili ya usalama, haupati pisi.
Ila siku ambayo hauna hili wala lile, unashangaa ghafla unaokota dodo chini ya...
Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali...
Wakuu habari! Poleni na majukumu na hongereni pia.... Nimepewa ruhusa na mhusika wa tukio hili niweze kushare humu ndani kisa kilichomtokea kutoka Kwa Binti aliyemuoa yapata miezi mitano Sasa...
Hello,
Nimekuja kwenu ndugu zangu naomba mnipe mawazo yenu, naomba mnishauri kama ndugu au rafiki yenu. Sitaficha chochote.
Nilimaliza chuo miaka kama 5 iliyopita nkapata kazi private after two...
Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:
#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).
Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara...
Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu
Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula...
Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona'...
Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume.
Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na...
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano
Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi...
Wakuu
Usipange kukosa nyuzi zangu za maana kabisa soon nitaanza kuzishusha ktk jukwaa hili la MMU! Nondo hizi zitakujia baada ya mimi General Ngona na nitajiita rasmi KINGD LOGISTICS & CO. na...
Kijana najua upo katika hali ya sintofahamu kuwa ukiacha kusimp utaishi vipi katika jamii hii ambayo imeamini kuwa simp ndie mwanaume bora kwa mwanamke.
Mimi ninae kuandikia hapa sio simp na...
God over Everything
Also God please give them hope patients and prisoners and to him nothing Imposssible.
I'm 26 years old
Muslim
God fearing person
Self-esteem
Hard worker
Government servant...
Habari zenu wanaJAMII!
Kuna cha kujifunza ktk hii true story!
Ulikuwa umetoka kumaliza Form 6. Ulikuwa unaishi maeneo ya Ubungo, jirani na kituo cha dala dala maarufu BAKWATA, kati kati ya...
Niseme tu mmepata tunu ya kipekee
Binafsi huko nyuma nilikuwa na kitambi
Nikakiachia kweli kweli bila kujua madhara yake kuanzia kiafya mpaka ndoa
Nichukue nafasi hii kumshukuru mke wangu kwa...
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.
Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao...
Wakuu,
Hii ni story ya kweli kabisa
Huyu jamaa alioana na mkewe mwaka 2004. Lakini mkewe alikuwa ana-earn zaidi kuliko yeye. Jamaa aliku.
wa anatafuta kazi na muda mwingi alikuwa yupo nyumbani...
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.
Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki.
Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?
Note: Umri...
Je wanawake Kwa siku mizunguko na kazini toka asubuhi mpaka jioni chupi moja inatosha? Au awe na mbili? Je akiwa na moja Kuanzia asubuhi mpaka jioni itatoa ule mstari wa uke (discharges) na je...