Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanaume Anapomfuata Mwanamke Anahitaji Vitu Viwili, Kimojawapo ni Ukikekike wa Mwanamke (Feminity Traits) Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu...
17 Reactions
97 Replies
2K Views
Wakuu, Ni mwendo wa bandika bandua,ukimwaga mboga tunasepa na ugali. Wewe dada ulifanya nini ulipogundua kuwa mwanaume uliyenae chumbani ana govi,utakimbia,utakubali yaishe uliwe au utamwambia...
13 Reactions
133 Replies
5K Views
Wakuu Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitausahau kabisa katika maisha yangu,ni mwaka ambao nilikutana na binti wa kidato cha tatu ambaye niliingia nae katika mahusiano ya moja kwa moja, Lakini sikutaka...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Hakuna mtu au mtumishi yeyote anayeondoka kazini na kwenda moja kwa moja nyumbani,lazima huwa kuna ka ulevi au ka starehe flani huwa anafanya ili kumuweka sawa kabla ya kwenda kukumbana na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Usijaribu kumuacha mwanamke yeyote kwa vita,yaani mmeachana kwa kutukanana na kudharauliana, kwani ipo siku utamuhitaji tu. Mimi mwenyewe jambo hili limenikuta leo,demu tumeachana nae...
4 Reactions
19 Replies
720 Views
Ulisha wahi kutongoza/tongozwa na bosi wako au mfanyakazi mwenzako ?? Tuambie ilikuwaje ? Mimi binafsi nilisha wahi kumtongoza bosi wangu wa kike kilichofuata nilipoteza kazi
5 Reactions
18 Replies
666 Views
Wakuu, Kufanya mapenzi kwa muda mrefu kunaweza kumfanya mwanamke aanze kuumwa tumbo la chini? Au ni tatizo?
3 Reactions
19 Replies
652 Views
Wakuu, Kama mnavyojua,mwenzenu nishajipata nimeshaoa,mpenzi wangu wa zamani ambaye kwa sasa siko nae mkoa mmoja kabla hata sijamwambia kuwa nimeoa,akapata taarifa Alinitukana sana baada ya...
1 Reactions
9 Replies
658 Views
Wakuu, Mwaka 2022, alitokea binti mrembo machoni pangu, mrefu, black beauty, mnene kiasi mpole, mstaarabu na mwenye adabu sana Basi bwana kikaingiza mikorogo na gia zangu ili badae awe wife...
15 Reactions
72 Replies
3K Views
Hizi ndoa hapana wakuu! Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa. Mfano:- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na...
59 Reactions
237 Replies
13K Views
INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu Habari ndio hiyo anapenda sana kuja Kwa juu na kuanza kuikatikia,ni tamu hakuna mfanowe. Utamu utamu hutawala chumbani Ijaribuni leo
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu, Ukweli usemwe umalaya sio dili ndugu zangu,kufanya uzinzi na mke au mume wa mtu ni ujinga na kujitafutia kifo. Kama una tabia hiyo acha mala moja. Mwenzenu yamenikuta,ilitokea nikapendwa...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
holoholo sijutii kukutana na wewe. Umewazidi wote huko Pm. Unajua mpaka unajua tena. Cc: Binti Sayuni03
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu, Natafuta mke,umri kuanzia miaka 18 hadi 23, mwenye umri huo ani pm tuyajenge tutaelewana Naomba kuwasilisha.
11 Reactions
115 Replies
3K Views
Ndoa itakushinda Iwapo... 1. Ikiwa tendo la ndoa halina maana kwako.. Ipo hivi... Katika ndoa, tendo la ndoa si la hiari - ni la msingi. Ikiwa hutaki kuduu, tafuta usaidizi kutoka kwa...
12 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu, Ambao hamjapata muwapendao poleni sana,najua mnapitia changamoto sana~ukitupia ndoano samaki anaikwepa,mnahangaika wallah. Wakuu,baada ya kuhangaika sana kumtafuta nimpendae basi bwana...
18 Reactions
111 Replies
4K Views
Wakuu Mimi ni kijana wa umri wa kuoa (miaka kati ya 23-30),mwezi wa nane mwaka jana nilienda kuchumbua katika kijiji jirani, Nilienda na mwenyeji wangu,NA zoezi la kuchumbia lilikamilika na...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo...
19 Reactions
40 Replies
2K Views
Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa.. Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari… Wale wa maombi , full package? 😅 Asubuhi...
3 Reactions
23 Replies
672 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…