Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa...
19 Reactions
142 Replies
9K Views
Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway...
41 Reactions
210 Replies
47K Views
Habari zenu mabibi na mabwana natumaini mpo wazima wa afya na maendelea poa naajukumu yenu Leo ningependa kuja na haya kwako kijana ambaye unampango wa kuoa siku zijazo basi ni vyema ukazingatia...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na...
15 Reactions
80 Replies
9K Views
Natoa indhari kwà sheria za jf mtu hazuiwi kuweka avatar aipendayo sasa mimi Tapaiko Namkeho ni janadume hivyo tusichukuliane poa nimeweka hilo tako ili muda wote nimuone mke wangu ambae anasoma...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Tokea Tangazo la Walamba Asali kujitangaza kuwa Mzinga wa nyuki umejaa pomoni ukifurika asali, wakasema huu ndio wakati wa Kula masega ya asali na asali yake. Nilidhamiria kujiunga...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
8 Reactions
49 Replies
4K Views
WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakuu ndugu zangu Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi. Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa...
11 Reactions
69 Replies
8K Views
Nahitaji marafiki wenye uwezo mkubwa wa kifkira na maono ya mbali kuhusu maisha kiujumla tuweze kupeana nondo
1 Reactions
8 Replies
833 Views
Wapenz naomba mnipe uelewa juu ya kabila la waluguru juu ya kuchezewa Ngoma na kunyoa sehem za Siri Nimepata binti WA Morogoro Muluguru Tatizo lake hataki kunyoa utupu wake ukimuuliza anajibu...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Mwenye namba ya huyu Pastor wa Kike anisaidie na kama unajua hata kwao niambieni huenda wadogo wake wakawa wanawake bora kwenye ndoa "Nataka mwanaume mwenye magari. Nataka mwanaume mwenye...
15 Reactions
84 Replies
6K Views
Morning JF family, Aisee mahusiano ya hivi visichana ni vichekesho na pasua kichwa kwa sisi watu wazima, yaani Kuna kabinti fulani kanauza pharmacy maeneo ya mjini kati, sasa bwana nilimzimia...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimemsikia raisi wetu SSH jana akiwa hospital ya CCBRT akisema kuna vyumba ambavyo vitatumika wakati wa mke akiwa kwenye kujifungua mume awe hapo akimtia moyo,akiona shughuli wanawake wanapitia😀😀...
10 Reactions
136 Replies
8K Views
Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani...
8 Reactions
153 Replies
16K Views
Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari. Kwa kifupi last 2 weeks nilikua...
45 Reactions
113 Replies
12K Views
Inasaidia kuacha nyeto hyo ndio faida yani ukianza kuhesabu ukafika labda siku 25 hujapiga nyeto afu ukapiga nyeto roho itakuuma vibaya sana ukirud humu kuona wenzio wapo siku nyingi nying so...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kijana Ferdinand anadai amemuona Eliza ambae ni bibi kiumri kwenye ndoto kama binti wa miaka 18 akiwa anang'aa kuanzia macho, pua na mdomo kama binti mrembo kwenye ulimwengu wa Kiroho. Ferdinand...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kibaya zaidi nimekwisha mtambulisha kwa marafiki zangu kwenye siku ya party ya pamoja Hata tuwe tunazungumzia kitu gani, akiona tu noti nyekundu anachanganyikiwa, anapatwa na kigugumizi, hata...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…