Gen Z wanasema Bara la Africa halijawahi kuwa Huru bali ni Unyonyaji ulihamishwa kutoka kwa Mzungu na kuwaachia vibaraka wao Weusi
Sasa Gen Z ndio wanapigania Uhuru wa kweli na Leo ndio wanafanya...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali
President William Ruto has named...
President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation
Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya...
Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kulishtumu Shirika la Ford Foundation kutoka Marekani kwa kile alichokitaja kama 'kufadhili maandamano ya kupinga Serikali yake,' sasa Serikali kupitia...
Kenya ni majirani zetu wa karibu sana lakini yanayoendelea Kenya sio demokrasia kama ambavyo wengi wanadhani lakini hiyo ni politics accident !
Kuna watu wapo nyuma ya mpango wa kuvuruga utulivu...
Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi.
Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa...
kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo...
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).
Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?
NB: HAPA...
Msemaji wa Serikali ya Kenya, Isaac Mwaura amesema kuwa taifa hilo limepoteza zaidi ya pesa za kenya bilioni 6 (zaidi ya bilioni 123 za Tanzania) kutokana na wimbi la maandamano yaliyoshuhudiwa...
Article 33(1) of the Constitution of Kenya provides that every person has the right to freedom of expression while Article 34(1) guarantees freedom and independence of the media.
However, the...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu.
Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake.
=====
NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome...
Nimeunda Tume maalumu ya kushughulikia deni la Taifa Ili tubaini mambo matatu
1. Tulikopa kiasi gani cha Fedha na kwa sababu gani
2. Miradi gani iliyotekelezwa kwa Mikopo hiyo na iko katika hali...
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Mwandishi wa habari wa Kenya, Catherine Wanjeri Kariuki, anayefanya kazi kwa Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi huko Nakuru wakati akiripoti maandamano yaliyoongozwa na vijana wakitaka...
Collins Jumaisi Khalusha, anayeshukiwa kuua wanawake wapatao 42 na kukata miili yao vipande vipande kabla ya kuitupa katika eneo la machimbo la Kware huko Embakasi Kusini, amekanusha madai hayo...
Africa Mashariki ni lazima tuungane sasa kuisaidia Kenya kwani Wananchi na Viongozi Wote wamechanganyikiwa
CCM tuna jukumu la kuisaidia Kenya kwa sababu Sisi ndio Chama kikubwa zaidi barani...
Breaking news
Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya
Citizen TV
======
Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake...
Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia.
RIP (Late) General Francis...