Police in Thika are investigating a bank robbery that happened on Sunday night at the KCB Thika branch that led to the loss of approximately Sh50 million.
According to authorities, the robbers...
Mamlaka ya usalama wa uchukuzi nchini Kenya NTSA imependekeza adhabu mpya miongoni mwa madereva walevi.
Madereva walevi sasa watalazimika kufanya kazi katika vyumba vya kuhifadhia maiti ili...
On this day, 35 years ago, President Daniel Arap Moi ordered that Oginga Odinga be arrested and placed under house arrest at the Lakeside town of Kisumu.
Prior to the detention, Moi had banned...
Je, Supreme Court judges bado ni WAKORA? Hukumu ya kwana uliwaita WAKORA when the ruling was against you, sasa it is in your favour, je bado ni WAKORA?
Ujenzi wa resort ijulikanayo kama amber resort umeanza kisiwani Zanzibar. Itakuwa na underwater restaurant, private islands pia na villas ndani ya bahari na kiwanja cha ndege. Ujenzi kukamilika...
Natumia fursa hii kuwapongeza wakenya,
Raila ni pandikizi la Tanzania, msithubutu kumpa urais, ogopeni Rais anayetafuta urais kutokea nje ya Kenya
Raila alikuwa lazima kawekewa masharti ya...
Kipindi kigumu cha sintofahamu kwenye siasa kilisababisha thamani ya shilingi kudorora, lakini maamuzi ya mahakama yamebadilisha hali na sasa ni mwendo wa kuimarisha uchumi...
Navy sends ship to Tanzania, aims to expand presence in IOR
By PTI | Updated: Nov 17, 2017, 01.05 AM IST
INS Sarvekshak today reached Dar-es-Salaam, a major city and commercial port of...
Watu watatu akiwepo mwanamke mzee wamefariki kwa kupigwa risasi kwenye maandamano yaliyotokea baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Uhuru Kenyatta ni halali
Watu wawili kati ya hao waliuawa...
Shindano la malkia wa urembo duniani la 2017 lilikamilika mjini Sanya China siku ya Jumamosi huku Mkenya Magline Jeruto akishinda taji la malkia wa urembo barani Afrika.
Hatua hiyo inajiri baada...
Naleta taarifa zaidi... Fuatilia CItizen TV
Mahakama ya Juu imesema ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta ni halali
Majaji sita wote walitupilia mbali mapingamizi yaliyopinga ushindi wake kwenye...
Two people are feared dead following protests against the Supreme Court ruling in Migori on Monday.
A medic and a clinical officer were reportedly shot dead as they rescued injured protesters...
Mgombea wa Urais wa Kenya aliyejitoa katika uchaguzi wa marudio Raila Odinga ameonekana katika viunga vya mji wa Unguja (Stone Town) .Wapasha habari wanadai yupo katika mapumziko. Ikumbukwe kwamba...
Wakenya leo Novemba 20 wanasubiri mwelekeo ambao nchi itachukua ambapo Mahakama ya Juu itatoa uamuzi katika kesi za kupinga uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26 ambao Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa...
Mbunge wa Mathare, Anthony Oluoch, amelazwa hospitalini Jumapili ya leo Novemba 19 baada ya kujeruhiwa katika hali tatanishi, katika mtaa wa Baba Dogo jijini Nairobi, kwenye mkutano uliohutubiwa...
Eight people were hacked to death and others shot by unknown assailants at dawn in Nairobi yesterday.
And an Opposition MP sustained gunshot wounds, a day before the Supreme Court makes its...
Habari nilizozipata toka Kenya ni kuwa mungiki wamepewa silaha na wanauwa wafuasi wa upinzani huku polisi wakiwafungia macho hizo ni baadhi za picha za maiti mitaa ya kariobangi leo hii ambapo...
Hii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa
Dereva huyo...