Total seeking Kampala-Dar pipeline route for Kenya oil
Such a decision would have far-reaching implications for the grand Lapsset project.
[http://www]An oil rig in Kenya’s Turkana County. PHOTO...
Viongozi 4 wa dini ya kiislamu pamoja na wanafunzi wao 95 wameshikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya Ugaidi Mjini Nairobi nchini Kenya..
Imeelezwa kuwa watu hao wamekamatwa...
Malindi fishermen and fishmongers operating in Mayungu have disagreed on the presence of fishermen from Pemba, Tanzania, in the area.
A group yesterday accused security officers of harassing the...
This is the trending story of a beautiful Kenyan lady identified as Wanja Mwaura who has won the heart of many after she took to Facebook to share before and after photos of her classmate who went...
Aisee leo kenyatta ametinga ndani ya party moja tuliyokuwa nayo hapa jijini...yaani imekuwa ni full kujimwaya mwaya mazee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji95] [emoji95] [emoji92]
Mahakama kuu ya Nairobi imetoa hukumu ya kulipwa kiasi cha Kshs milioni 4 kama fidia kwa mwanafunzi wa kike ambaye alivuliwa nguo na picha zake akiwa nusu uchi kutumwa kwennye mitandao ya kijamii...
Jaji wa mahakama ya kazi, Hellen Wasilwa ameagiza shirika la ndege, Kenya kuwarudisha kazini mara moja wahandisi na mafundi iliowafukuza kusubiri kesi iamuliwe
Wahandisi na mafundi hao walipinga...
Baada ya rais Uhuru kuwafungulia Waafrika kuja Kenya bila vizuizi, tukianza hivi kuwa na vifaa vya kisasa vya kipekee ukanda wote huu, nafikiri nchi yetu itanufaika pakubwa. Wengi wataanza kutua...
President Uhuru Kenyatta Saturday morning inspected the Standard Gauge Railway (SGR) tunnel at Em-Bulbul in Kajiado County. The Em-Bulbul SGR tunnel covers 4.5km and is the first of the three...
Delegations from Rwandan and Ugandan governments arrived in the northern Tanzanian city of Arusha to bolster Martin Ngoga's campaign for speakership of the East African Legislative Assembly...
Watu 17 wamefariki katika ajali ya barabarani iliyoteka barabara kuu ya Thika kwenda Garissa karibu na eneo la Kilimambogo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, ajali hiyo imehusisha Lori na...
Kwa Wazenji walionekana kama under-dog muda wote huu, timu ndogo na ya kutupwa wamejizatiti na kupiga chini timu kubwa kubwa, hata Tanzania imelazwa na haikumudu. Japo napenda nchi yangu na timu...
Tanzania approves Oman-funded Bagamoyo economic zone project
Fatima De La Cerna
Wednesday، 29 November 2017
Oman’s State General Reserve Fund (SGRF) has announced that the government of...
Harvard Professor Calestous Juma, Born in Kenya, Dies in U.S.
Calestous Juma (Juni 9, 1953 – Desemba 15, 2017) alikuwa mvumbuzi na mtafiti wa sayansi kutoka nchini Kenya aliyefundisha kwenye Chuo...
Polisi ya Kenya yadaiwa kuwabaka watu katika ghasia za baada ya uchaguzi 2017
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limetoa ripoti yake hii leo inayosema visa vingi vya...
President Uhuru Kenyatta flags off a loaded container during the Launch of the Upgraded Inland Container Depot (ICD) Embakasi, Nairobi County, December 16. /PSCU
President Uhuru Kenyatta today...
Mwnamke mmoja amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kutumia kiasi cha Kshs. 27,140 kilichotumwa kwenye kwenye akaunti yake ya M Pesa kimakosa
Mwaname huyo aliyefahamika kwa jina la Margaret...