Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao. Jambo la kujiuliza ni hili 1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi? 2. Kwanini huyu mtu hakuwapea...
11 Reactions
56 Replies
5K Views
Bado na ona wengi wana shangilia Kushikiliwa kwa ndege ya ATCL Sauzi Ni muhimu muyajue haya. 1.Deni la Tz hadi sasa ni 31% of GDP. Hili ni deni la wastani na linalipika kwa urahisi 2.Mkitaka...
16 Reactions
27 Replies
4K Views
kila siku tunaambiwa wazungu ndio wanaongoza kwa utajiri Kenya, ila ukweli ni kuwa ndani ya matajiri kumi bora wa Kenya, utapata kunao zaidi ya tano wajukuu weusi wa nchi hii, lakini kwa wenzetu...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Ndugu zetu ,shemeji zetu na jiran zetu Wakenya ugonjwa wa uchizi umeshamiri huko kwen hv tatzo ni nn sasa mpk machiz wawa wengi hivii???!!!! Povu ruhusa
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Zoezi la sensa la kuwahesabu watu na makaazi nchini Kenya limeanza na litaendelea kwa wiki moja ijayo, maeneo ya burudani yalifunga mapema siku ya Jumamosi baada ya serikali kuwaagiza wananchi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Raia wa Kenya, Anthony Mamboleo Nyakeo amehukumiwa kifungo hicho baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha kingono Mwanamke mgonjwa wa miaka 74 Nyakeo, aliyekuwa anafanya kazi kama Muuguzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ilikua wakati wa uzindunzi wa safari za ndege ya shirika la ATCL kuruka baina ya Dar na Jo burg, viongozi hao walikwenda kuipokea ila walipofika kwenye uwanja wakazuiwa mbali. Dah! yaani kule...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Djibouti beats about-turn in UN Security Council seat race THURSDAY AUGUST 22 2019 A UN Security Council meeting. Djibouti on August 22, 2019 appeared to rescind its earlier decision to respect...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Tanzanians are demanding answers from their Supreme leader, who has been lying to them that ATCL is doing well. According to the so called CAG report, it has been revealed that ATCL has in fact...
9 Reactions
319 Replies
23K Views
Hizi show zenyu zimenibamba majirani.
9 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimeskia ya kwamba ndege yenu iliyokuwa imeenda SA imekamatwa. Naona hawa watu ambao nyie hudai kuwa mliwakomboa hawana shukrani. Poleni sana kwa hili
15 Reactions
112 Replies
10K Views
Wakenya ninyi vilaza sana hamfahamu lolote kabisa kuhusu Tanzania yaani ninyi ni myopia linapokuja suala la kujua history ya Tanzania Na sijui kama wenzangu hili mmeliona, kwa muda niliokaa hapa...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Wakenya wana akili na wamesoma sana. Ndio hii evidence : EXCLUSIVE: Inside the African essay factories that churn out university coursework for 115,000 cheating British students every year For...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Roundi hii wanaume mko taaabani, Mwanafunzi mwanamke akipachikwa mimba, ni mwanaume ndo atakua taabani kuliko mwanamke kulingana na sheria mpya.. Mwanamme ndo atakua anaaibishwa mbele ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nchi hii tumewekeza sana kwenye kila aina ya michezo, hongera sana President Uhuru Kenyatta on a motorbike TWITTER President Uhuru Kenyatta hands over the flag to team captain Rolf Kihara...
2 Reactions
0 Replies
961 Views
Evelyn Okinyi poses with her crown. Bodybuilder Evelyn Okinyi put Kenya on the world map for the second time this year after winning the coveted Women bodybuilding 2019 championship title in...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
You might be wondering what the results of the census that begins tonight will be. Will they show significant change among Kenyans in a span of ten years since the last census? Yes. The census...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Vita baina ya kenya na somalia zaendelea kunuka...Serikali ya somalia jana iliagiza Majeshi 100 kutoka Ethiopia kutua Somalia..KDF wakazuia hio ndege kutua lakini msaada wa ethiopia bado upo kwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Berth ya Kwanza imeshakamilika inafunguliwa October. Berth 2 and 3 inakimbizwa kama baisikeli ya kuibiwa na zitakamilika mwaka ujao. Berth 2 and 3 ndio hizi hapa chini. Kazi inafanywa usiku na...
4 Reactions
123 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…