Berth 2 and 3 of Lamu Port. Leo ndio mtajua kuwa Wachina hawataki mchezo kwa kazi.

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Berth ya Kwanza imeshakamilika inafunguliwa October. Berth 2 and 3 inakimbizwa kama baisikeli ya kuibiwa na zitakamilika mwaka ujao. Berth 2 and 3 ndio hizi hapa chini. Kazi inafanywa usiku na mchana bila kupumzika.

SEARCH IN THE CURRENT

AND SHOW ME

  • Index
  • Continental Forums
  • Africa
  • East Africa
  • Kenya
  • Projects, Construction and General Discussion
  • Transport and Infrastructure
Sign up now! It's free and easy.
Register ▸
Load Previous

  • jaysonffm
    Registered UserJoin: Feb 2016Posts: 116
    Jul 11, 2019 · #2251

  • LaoTze
    Registered UserJoin: Oct 2015Posts: 1940
    Jul 15, 2019 · #2252
    Berths 2&3

Attachments

  • 15660349258538252214240051230383.png
    15660349258538252214240051230383.png
    498.2 KB · Views: 60
  • 15660351080824147748668994131915.png
    15660351080824147748668994131915.png
    584.5 KB · Views: 66
  • 1566035129661119727155719148477.png
    1566035129661119727155719148477.png
    305.9 KB · Views: 59
Kama uko na pesa,,pea mchina kazi...
Wazungu sikuizi wamekuwa fake sana,
Projects zao zinasuasua sana, very slow
 
Berth ya Kwanza imeshakamilika inafunguliwa October. Berth 2 and 3 inakimbizwa kama baisikeli ya kuibiwa na zitakamilika mwaka ujao. Berth 2 and 3 ndio hizi hapa chini. Kazi inafanywa usiku na mchana bila kupumzika.

SEARCH IN THE CURRENT

AND SHOW ME

  • Index
  • Continental Forums
  • Africa
  • East Africa
  • Kenya
  • Projects, Construction and General Discussion
  • Transport and Infrastructure
Sign up now! It's free and easy.
Register ▸
Load Previous

  • jaysonffm
    Registered UserJoin: Feb 2016Posts: 116
    Jul 11, 2019 · #2251

  • LaoTze
    Registered UserJoin: Oct 2015Posts: 1940
    Jul 15, 2019 · #2252
    Berths 2&3

Dar zinajengwa gati kumi na mpaka Sasa Gati mbili mpya zimeanza kazi ya3 na 4 soon mpaka zinaisha zote.

Sioni nafasi ya huko 254 kupata soko la shehena hasa baada ya kuimarisha uchukuzi kutoka bandari ya Dar
 
Mombasa Port is now 5 times bigger than Dar.And closer to Rwanda and Uganda. So No.
 
And we Wonder why Africa as a Continent is the Poorest, despite being rich in natural resources...

One of the key answers is this mentality.., Umimi.., not working as a unity in a symbiotic relationship.., do and build not only for oneself but for all.., no need to compete among yourselves in the end you are just fighting for a big share of nothing..., rather than getting a small share of something....
 
Berth ya Kwanza imeshakamilika inafunguliwa October. Berth 2 and 3 inakimbizwa kama baisikeli ya kuibiwa na zitakamilika mwaka ujao. Berth 2 and 3 ndio hizi hapa chini. Kazi inafanywa usiku na mchana bila kupumzika.

SEARCH IN THE CURRENT

AND SHOW ME

  • Index
  • Continental Forums
  • Africa
  • East Africa
  • Kenya
  • Projects, Construction and General Discussion
  • Transport and Infrastructure
Sign up now! It's free and easy.
Register ▸
Load Previous

  • jaysonffm
    Registered UserJoin: Feb 2016Posts: 116
    Jul 11, 2019 · #2251

  • LaoTze
    Registered UserJoin: Oct 2015Posts: 1940
    Jul 15, 2019 · #2252
    Berths 2&3

Nlipita western bypass juzi ,
Mchina tayari kazi yake imeanza huonekana within a month since aingie Field, speed ya ajabu
 
Watu wanazungumza mambo ya maana wewe unatuletea vitu gani, hebu angalia hii picha hapa labda itafungua uelewa wako

China-Belt-and-Road-Initiative-map.jpg
Wakati ukiamini taarifa ya wakati uliopita hata Kama mwezi tu Huku TZ changes Ni Abruptly so Hiyo sio kigezo
 
Watu wanazungumza mambo ya maana wewe unatuletea vitu gani, hebu angalia hii picha hapa labda itafungua uelewa wako

China-Belt-and-Road-Initiative-map.jpg
Mbona lamu ipo very isolated from the network, its like they could end in djibouti and everything would be fine, but they opted to include lamu, naona ni sababu wanajua wataimilika.
 
Mbona lamu ipo very isolated from the network, its like they could end in djibouti and everything would be fine, but they opted to include lamu, naona ni sababu wanajua wataimilika.
Kenya sio LDC bwana ,tunao uwezo wa kulipa sisi sio kama Bagamoyo port imekwama kabisa .Go take the big log outta your eye 1st kabla kuja kutupangia mambo zetu .
 
Mbona lamu ipo very isolated from the network, its like they could end in djibouti and everything would be fine, but they opted to include lamu, naona ni sababu wanajua wataimilika.

Khaa! Bora Mchina aikose hata hiyo Djibouti lakini asiikose Lamu maana hapo Lamu ndio kiingilio cha ukanda wote huu ambao Mchina amewekeza, Afrika mashariki na Kati hadi Kusini kiingilio ni hapo Lamu, mwenye akili ataelwa bila kutumia nguvu nyingi.
 
Mombasa Port is now 5 times bigger than Dar.And closer to Rwanda and Uganda. So No.
5 times bigger than Dar? Are you OK? Yaani pamoja na kwamba Dar port ipo kwenye expansion ya 12 more berths lakini hata kwa hali iliyonayo sasa bado Mombasa haiipiti kwa hata kidogo, they are almost sawa
EB3Equ3WwAEiENk-1.jpeg
 
Back
Top Bottom