REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Wakenya ninyi vilaza sana hamfahamu lolote kabisa kuhusu Tanzania yaani ninyi ni myopia linapokuja suala la kujua history ya Tanzania
Na sijui kama wenzangu hili mmeliona, kwa muda niliokaa hapa jf nimeushuhudia ombwe kubwa la ufinyu wa akili wa wakenya linapokuja suala la ufahamu juu ya nchi nyingine, nimeshuhudia kauli kutoka kwao wenyewe kwamba Watanzania tunajua mengi sana kuhusu nchi yao na historia yao yote
Lakini mkenya hajui hata history ya Uganda sijui ni mamburura kwenye kusoma vitabu au kupenda kujua history, by the way nilivyokua nasoma shule, somo ambalo lilikuwa likiongoza kwa ufaulu wa jumla kwa wanafunzi wote ni somo la history na ni somo ambalo katika curriculum ya Tanzania limesheheni haswa, sijui labda kutokana na Tanzania kuwa na history kubwa sana na nchi za Afrika ndio maana somo likawa limeshiba dose kiasi hiki au vipi hilo mtanisaidia
Ipo history kubwa sana nyumbu kutoka Norwich hawana walijualo kabisa kuhusu history ya Tanzania, I wish mngepata access TBC ambayo ndio studio iliyosheheni makala kubwa kuhusu Africa liberation struggles in Africa, yaani ndio inaongoza Africa kwa wingi wa contents zinazohusu history mzima ya Africa kwa njia ya videos na audio and much more still pics.
Haina haja ya kujua history ya Tanzania na SADC ndugu zetu sababu haiwahusu, ninyi mkijua yenu na Somalia na Sudan inatosha, Tanzania ni mtambo mkubwa hamuwezi kuumudu, issue inakuja pamoja na umburura wenu kuhusu Tanzania bado mnajifanya vinara wa kuiongelea Tanzania na ndugu zetu SADC as if mnayo tangible facts za kusimamishia hoja, pathetic
Kuna Wakenya wanaamini eti wameizidi Tanzania kwenye sector ya kilimo (niliwashangaa sana kwenye thread ile kwamba hawajui Tanzania ni permanent top 5 player in general agricultural producer in Africa wakati Kenya ikiwa inakokota mkia) mambo haya na mengine mengi ndio yamenifanya nizidi kuwaona hawa watu ni zero brains kubwa
Sasa em tuone namna Nyerere alivyosimamisha uhusiano na beberu la kibritish on the spot juu la dhulma iliyokua ikitendeka huko Southern Rhodesia (mungiki nendeni Google kutafuta huu msamiati wa Southern Rhodesia sababu hakuna kati yenu hata mmoja anajua ni nini hicho)
Hii video inaonesha namna Tanzania haijawahi kuwa na haya wala uoga kwa mabeberu, we confronted them up and demand what we need and they granted ASAP
Video pia inaonesha misuli ya Tanzania kiuchumi kiasi cha kugharamia kila kitu kwa nchi zote za SADC ziwe huru sababu kuna nyumbu mmoja jana nilimshuhudia akijidanganya kwa ushiriki wa Tanzania kwa liberation struggles ulikuwa tu kutoa refuge kwa exiles (pathetic Bwana254 get this in your tiny thick skull you know nothing) kwa hiyo nikaona kweli hawa mburura ni shida.
Just observe mazingira ya Dar, uelewa mpaka wa Watanzania kuhusu haki ya Waafrika wenzao, ujasiri wa Watanzania kuandamana nchi nzima sababu ya kupigania haki ya Waafrika wenzao (but they never did this to Kenya) na Kenya ilipata uhuru baada ya Tanzania lakini Tanzania haikuwahi hata kujisumbua kuona nini cha kuisaidia Kenya, though tunawasaidia kwenye uhuru wa njaa (we are fighting this stomach liberation wars thus mental on their table battlefields daily on behalf) hilo lizingatiwe.
Actually we spoke English like shit ndio maana beberu alituelewa and of course by then English was the educational medium for all levels
Let's see