Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Uhuru Turaireta mweimeti Meru.. Turaireta mweimeti Taraka Nyiti..
3 Reactions
95 Replies
9K Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya imeahirisha uchaguzi wa gavana wa Mombasa na Kakamega pamoja wabunge wa Kacheliba na Pokot Kusini baada ya karatasi za kupigia kura kuonekana...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
May 17, 2020 By John Njoroge, Nairobi, Dr. Magufuli spent years as a chemical lab expert as seen in this old photo of him. He is the only scientist President in the EAC so is his unique...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Mzuka wanajamvi! Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji hamsini. Lakini ilipowadia muda wa wagombea hao kuwasilisha maombi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imesitisha Uchaguzi wa Ugavana katika Kaunti za Kakamega na Mombasa, kutokana na makosa ya uchapishaji kwenye karatasi za kupigia kura Pia, Uchaguzi wa Wabunge...
1 Reactions
1 Replies
834 Views
Wasimamizi 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wamefukuzwa kwa madai ya kukutana na Mgombea nyumbani kwa mgombea huyo huko Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay Maafisa hao wanadaiwa walikuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa miaka zaidi ya 60 (miongo 6/6 decades) familia hizi zimekuwa zikiitawala Kenya Kisiasa na Kiuchumi! Hawa wote kazi yao ni moja tu, kuiba mali za Wakenya na kucontrol Serikali ili kuhakikisha...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kampeni za uchaguzi Kenya zimemalizika rasmi jana lakini wataalamu wa siasa wanahofia juu ya hatari kutokana na taarifa potofu zinazochapishwa mitandaoni na wafuasi wa wagombea wakuu. Benedict...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona matukio kadhaa mpambe wa Rais akiwa na mazoea sana na Rais wa Kenya, ni kama vile imevuka mipaka. Je, huyo mpambe wake ni ndugu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Benjamin Mkapa ni hayati sasa. Huyu Mwamba ndie Raia aliyeongea Kiingereza kilichonyooka kisichofungamana na lugha za Kikukiyu, kiluya, kinyakyusa, kimakonde au lugha yoyote Mama Afrika Mashariki...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani. malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Jane Kibe (48) na Peris Wanjiru (35) wamenusurika kifo baada ya kuchomwa visu na kijana mwenye umri wa miaka 17 kwa madai ya kukataa kumuunga mkono Baba yake anayegombea Ubunge Mtuhumiwa aliingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii article imekuwa published kwa Forbes two hours ago. Mzungu amemwaga sifa sufufu kwa Sgr yetu. Nakumbuka zamani kabla Sgr kukamilika wazungu walikuwa wanasema eti hii Sgr ni white elephant...
5 Reactions
100 Replies
8K Views
Viwanda za Western zitarudishwa. I learned from my late brother @MagufuliJP that sometimes you just show up unexpected. My impromptu visit to Mumias Sugar today confirms that industries will be...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Tunazidi kuingia kwa Bakongo kifua mbele..... KCB Group has entered the Democratic Republic of Congo (DRC) through the acquisition of a majority stake in Trust Merchant Bank (TMB), becoming the...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…